atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Kaachiwa huru lini..Fyokofyoko kafanya scorpion ILA kaachiwa huru
Kaachiwa huru lini..Fyokofyoko kafanya scorpion ILA kaachiwa huru
..midomo lazima inuke maana watu hawapati vifungua na vifunga kinywaMswaki wapewe wanuka midomo.....
..Lini wakati ni Juzi tu nmeona gazeti linasema mashtaka YamefutwaKaachiwa huru lini
Kinywa hakinaga aibu au staha yaani ukikaa tu miayo na harufu itakuzingua na kukuumbua....midomo lazima inuke maana watu hawapati vifungua na vifunga kinywa
Yamefutwa yakafunguliwa mengine... Be updated..Lini wakati ni Juzi tu nmeona gazeti linasema mashtaka Yamefutwa
Updated news za alasiri zimewekwa bayana muda huu punde !!!Yamefutwa yakafunguliwa mengine... Be updated
Punde si punde ukweli wote utajulikana na watuUpdated news za alasiri zimewekwa bayana muda huu punde !!!
..watu hatupendi kujua ukweliPunde si punde ukweli wote utajulikana na watu
Watu hawahawa ima wakunyanyue au ima wakuteremshe chini nakukupiga pwaa !!Punde si punde ukweli wote utajulikana na watu
Na watu ndo wanausubiri huo ukweli uanikwe hadharaniPunde si punde ukweli wote utajulikana na watu
..pwaa!pwaa!hizi sauti sio ngeni sanaWatu hawahawa ima wakunyanyue au ima wakuteremshe chini nakukupiga pwaa !!
..Hadharani Ujinga hauwezi kufanywaNa watu ndo wanausubiri huo ukweli uanikwe hadharani
Kufanywa ujinga mara nyingi kupitia mitandao ya kijamii..Hadharani Ujinga hauwezi kufanywa
Mitandao ya kijamii kuna mengiKufanywa ujinga mara nyingi kupitia mitandao ya kijamii
Mengi yanaenea kwa muda mchache sana kupitia whatsapp na facebookMitandao ya kijamii kuna mengi
..facebook ni Ya kishamba sanaMengi yanaenea kwa muda mchache sana kupitia whatsapp na facebook
Sana sana ukiifananisha na Jf kwa bongo, lakini Facebook ipo level za juu kabisa kimataifa..facebook ni Ya kishamba sana
..kimataifa inatuka kiustarabu sana,ILA korea hawanayoSana sana ukiifananisha na Jf kwa bongo, lakini Facebook ipo level za juu kabisa kimataifa
Hawanayo mithili ya ukubwa wa tembo !!..kimataifa inatuka kiustarabu sana,ILA korea hawanayo