Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
meli ni usafiri unaonishangaza sana, makontena makubwa yanabebwa lakini still haizami wakati IPO majini, amazing
..Meli naskia hamna bandariniMachafuko ya bahari yanaweza kuzamisha meli
Amazing!!!! It shocked me!!!meli ni usafiri unaonishangaza sana, makontena makubwa yanabebwa lakini still haizami wakati IPO majini, amazing
..amaizing ni pale unaJua hupati mkopo alaf unakuta 100%meli ni usafiri unaonishangaza sana, makontena makubwa yanabebwa lakini still haizami wakati IPO majini, amazing
100% ya watanzania wanapenda amani..amaizing ni pale unaJua hupati mkopo alaf unakuta 100%
Amani ni utajiri na urithi tuliyo achiwa na mababu zetu, ndiyo tunauenzi na kuutukuza hadi..100% ya watanzania wanapenda amani
Pesa ya kujikimu ni ndogo haitoshi kwa mahitaji muhimu100% nyingi ya wanafunzi wa elimu ya juu hawajapata pesa ya kujikimuu
Kujikimu kwa kipindi hiki ni lazima fungu la bajeti liwepo wazi....100% nyingi ya wanafunzi wa elimu ya juu hawajapata pesa ya kujikimuu
Vitu vingi vinapelekwa kwa madiliwazi ni ile hali ya mambo kujulikana na wananchii na si kuficha ficha vituu
Madili kwa kipindi hiki sio mengi kama kipindi kilichopitaVitu vingi vinapelekwa kwa madili
Kipindi kilichopita watu walikuwa wanapiga pesa ndefu utajiri nje njeMadili kwa kipindi hiki sio mengi kama kipindi kilichopita
Nje ya bara ili, pesa zilizopigwa nje nje kipindi kilichopita ni mahali zilipoekwa hizo pesaKipindi kilichopita watu walikuwa wanapiga pesa ndefu utajiri nje nje
Nje nje kwa kuwa watu weng walikuwa mafisadKipindi kilichopita watu walikuwa wanapiga pesa ndefu utajiri nje nje
Mafisadi wametuibia sana pesa zetu watanzaniaNje nje kwa kuwa watu weng walikuwa mafisad
WaTanzania wengi ni watu wa kupotezeana kusahau majeraha yao hadi makovu huyaita hulka..Mafisadi wametuibia sana pesa zetu watanzania
..watanzania wana asili Ya utanzaniaMafisadi wametuibia sana pesa zetu watanzania