Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..mahekalu unaJua kuyajenga??!Hupanua msamiati,dah,sawa bwana.Inaelekea "cho chote"siku hizi kinajengewa mahekalu!
..mahekalu unaJua kuyajenga??!Hupanua msamiati,dah,sawa bwana.Inaelekea "cho chote"siku hizi kinajengewa mahekalu!
Mahekalu mengi yapo tupu tupu ndipo wanapoishi majini....Hupanua msamiati,dah,sawa bwana.Inaelekea "cho chote"siku hizi kinajengewa mahekalu!
..majini hawana tofauti sana na wanaoJifanya wana uchu na Taifa wakat hwawajibikiMahekalu mengi yapo tupu tupu ndipo wanapoishi majini....
Mahekalu yamebaki wazi waumini wameshindwa kuabudu sababu ya stareheHupanua msamiati,dah,sawa bwana.Inaelekea "cho chote"siku hizi kinajengewa mahekalu!
Kivyetu tunajimwagamwaga bila hiana kwenye uzi huu hadi niwe mshindiKwa mfano, Siye tumesha jenga taifa upande wetu na tumesha wajibika kivyetu....
..inadhalilika kwa sababu watu kama wewe wanakuja na logic za viwanda sehemu isiyo Ya siasa
..wewe kaJenge hivo viwanda sisi tutapaka rangiDah,yaani huoni relationship ya thread kama hii na ujenzi wa viwanda.Nadhani nisipoteze muda na wewe.
Wewe mhamiaji kutoka nchi jiranii njoo tukufundishe kiswahili ukawe mwalimu huko maskani...Dah,yaani huoni relationship ya thread kama hii na ujenzi wa viwanda.Nadhani nisipoteze muda na wewe.
Rangi yake itakuwa hadherungi ikichanganywa na kahawia, sijui atakoleajee kama kiluwa !!..wewe kaJenge hivo viwanda sisi tutapaka rangi
..maskani kwao hata kazi Ya ualimu hapatiWewe mhamiaji kutoka nchi jiranii njoo tukufundishe kiswahili ukawe mwalimu huko maskani...
..Kiluwa hakika,itakuwa kama kiluwa hahah!!!Rangi yake itakuwa hadherungi ikichanganywa na kahawia, sijui atakoleajee kama kiluwa !!
Mshindi ni wewe blacky.. ulipoteza point mbili ila nilikuMiss sana BW bora umerejea mwenyewe !!Kivyetu tunajimwagamwaga bila hiana kwenye uzi huu hadi niwe mshindi
..mwenyewe nataka nijue habari za BlackiMshindi ni wewe blacky.. ulipoteza point mbili ila nilikuMiss sana BW bora umerejea mwenyewe !!
..rangi imeshuka bei sana kipindi hikiRangi yà kijani sehemu yeyote nnapoiona nashikwa na kinyaa mnoo ..sitamani kabisa kuiona hii rangi.
Blacki ana milikiwa na ZZ peke, wivu wangu hasogeei mtu !!..mwenyewe nataka nijue habari za Blacki
Mwenyewe nimekungoja kwenye bonde lala Ngorongoro hadi kupewa kazi ya ulinziMshindi ni wewe blacky.. ulipoteza point mbili ila nilikuMiss sana BW bora umerejea mwenyewe !!
..mtu mzuri kizuri anakula na ndugu YakeBlacki ana milikiwa na ZZ peke, wivu wangu hasogeei mtu !!
Ulinzi siku hizi unapigwa chenga na vijana watanashati, Mzee wa watu wameniingiza mujini....Mwenyewe nimekungoja kwenye bonde lala Ngorongoro hadi kupewa kazi ya ulinzi