Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Utanzania ni kuridhia na kukubali hali halisi pasipo na mushkeli......watanzania wana asili Ya utanzania
Utanzania ni kuridhia na kukubali hali halisi pasipo na mushkeli......watanzania wana asili Ya utanzania
Mushkeli upo kama umakini unakosekanaUtanzania ni kuridhia na kukubali hali halisi pasipo na mushkeli....
Unakosekana usimamizi wa dhati katika miradi hadi kusababisha ubovu katika viwango !!Mushkeli upo kama umakini unakosekana
Viwango vya bidhaa zinzozalishwa nchini bado havina ubora wa kutoshaUnakosekana usimamizi wa dhati katika miradi hadi kusababisha ubovu katika viwango !!
Ubora wa kutosha kutufaa sisiViwango vya bidhaa zinzozalishwa nchini bado havina ubora wa kutosha
Sisi tunatakiwa kula vyakula na vinywaji vilivyothibitishwa na tbsUbora wa kutosha kutufaa sisi
Tbs hawafiki uswahilini ambapo kuna vyakula na vinywaji vinazalishwaSisi tunatakiwa kula vyakula na vinywaji vilivyothibitishwa na tbs
Vinazalishwa kwa kiwango duni na vinaleta madhara kwa afyaTbs hawafiki uswahilini ambapo kuna vyakula na vinywaji vinazalishwa
Afya za watanzania wengi ni duniVinazalishwa kwa kiwango duni na vinaleta madhara kwa afya
Afya ya wenyewe wa huko hata hawasumbiki kutwa hospitaliniVinazalishwa kwa kiwango duni na vinaleta madhara kwa afya
Afya zetu tete husababishwa na lishe duni, hatimaye hata madawa hospitali ni adimu !!!Vinazalishwa kwa kiwango duni na vinaleta madhara kwa afya
Hospitalini hakuna dawaAfya ya wenyewe wa huko hata hawasumbiki kutwa hospitalini
..adimu ni Pale wanafunzi wanapokosa mikopo wakati hela zipoAfya zetu tete husababishwa na lishe duni, hatimaye hata madawa hospitali ni adimu !!!
Dawa za mitishamba zipo kibaoHospitalini hakuna dawa
Ni duni sababu ya hospitali hakuna dawaAfya za watanzania wengi ni duni
Zipo hela kwa kununulia magari ya washawasha na vifaa vya ulinzi kwa waleta fyokofyoko !!..adimu ni Pale wanafunzi wanapokosa mikopo wakati hela zipo
..dawa zimeJaa ila sio za hospitali,ni dawa za mswakiNi duni sababu ya hospitali hakuna dawa

Mswaki wapewe wanuka midomo.......dawa zimeJaa ila sio za hospitali,ni dawa za mswaki![]()
..kibao Ya Mzee Yusufu cha "alamba" kikusindikize mchana wa leoDawa za mitishamba zipo kibao
..Fyokofyoko kafanya scorpion ILA kaachiwa huruZipo hela kwa kununulia magari ya washawasha na vifaa vya ulinzi kwa waleta fyokofyoko !!