Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kidogo kidogo na uhakika ndiyo mpango mzima wakujikita katika utawala bora...Tuwe wapole kwani maendeleo yanakuja kidogo kidogo
Kidogo kidogo na uhakika ndiyo mpango mzima wakujikita katika utawala bora...Tuwe wapole kwani maendeleo yanakuja kidogo kidogo
Mwendo kasi ni wa mwaka mmoja tu... Visingizio vitaanza kuibuka karibu !!Kidogo kidogo ndio mwendo
Karibu tufike kwenye utawala bora ambao kwetu ulikuwa ni ndotoMwendo kasi ni wa mwaka mmoja tu... Visingizio vitaanza kuibuka karibu !!
Ndoto za nchi nyingi ktk ulimwengu wa tatu wanataraji kupata Rais kama mhe. JPM, amewagusa wakazi wengi kwa ufanisi wa utendaji !!Karibu tufike kwenye utawala bora ambao kwetu ulikuwa ni ndoto
Utendaji ambao umegeuka chungu kwa mafisadiNdoto za nchi nyingi ktk ulimwengu wa tatu wanataraji kupata Rais kama mhe. JPM, amewagusa wakazi wengi kwa ufanisi wa utendaji !!
Kazi ya leo ifanya, kwani kesho kuna jipya na halitambuliki......mafisadi ambao ni chungu cha utendaJi kazi
..Halitambuliki Jambo lisilo na mwishoKazi ya leo ifanya, kwani kesho kuna jipya na halitambuliki....
mwisho wa siku kila mtu awezepata milo mitatu na malazi mema !!..Halitambuliki Jambo lisilo na mwisho
mwisho wa siku kila mtu awezepata milo mitatu na malazi mema !!
Hayapatikani siku hizi kwa kuwa siyo musimu wake ila tutayaagiza kutoka ng'ambo !!!..mema Yapo ILA hayapatikani
..ng'ambo Ya mto ndipo tutakapoketi tukifika mbinguniHayapatikani siku hizi kwa kuwa siyo musimu wake ila tutayaagiza kutoka ng'ambo !!!
Mbinguni unapajuajee? Jee ulishawahi fika huko... hebu tusimulie !!!..ng'ambo Ya mto ndipo tutakapoketi tukifika mbinguni
..simulizi hazina mashiko,ukilinganisha na Uhalisia utakavyokuwa ilivyoandikwa kwenye BibliaMbinguni unapajuajee? Jee ulishawahi fika huko... hebu tusimulie !!!
Biblia imeweka bayana ya mbingu na ardhi, bila kulifanyia kazi msafara huo ?..simulizi hazina mashiko,ukilinganisha na Uhalisia utakavyokuwa ilivyoandikwa kwenye Biblia
..huo msafara umefanyiwa kazi,Yawezekana huna uelewaBiblia imeweka bayana ya mbingu na ardhi, bila kulifanyia kazi msafara huo ?
Uelewa unawezekana kuelewesha, Na ni bora kupata ziada kwa mustakabali !!..huo msafara umefanyiwa kazi,Yawezekana huna uelewa
Mustakabali wa nini?Uelewa unawezekana kuelewesha, Na ni bora kupata ziada kwa mustakabali !!
Nini tutapungukiwa tutakapo eleweshwa elimu ya angani na sayari !!!Mustakabali wa nini?