Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mwaka jana nilijaaliwa biashara yangu kupanda capital nilyoekeza na mwaka huu sijafikia hata nusu !!2025 ni mbali, tuombe uzima tuuone huo mwaka
Mwaka jana nilijaaliwa biashara yangu kupanda capital nilyoekeza na mwaka huu sijafikia hata nusu !!2025 ni mbali, tuombe uzima tuuone huo mwaka
Nusu itafika baada ya mabadiliko ya kiuchumi kukaa sawaMwaka jana nilijaaliwa biashara yangu kupanda capital nilyoekeza na mwaka huu sijafikia hata nusu !!
Sawa sawa nipo napambana na biashara za wauza feki na wachakachuaji wa bidhaa....Nusu itafika baada ya mabadiliko ya kiuchumi kukaa sawa
Huu Uzi Mimi gbefa ndio nitakuwa mshindi mwaka 2045 tutakuwa tunezeekasawa kabisa nimekubali supermarket unaweza ukawa wamwisho kupost katika Uzi huu
Tunazeeka mapema wakati wajukuu wetu bado hatujawaona wakitufuata humu JF !!Huu Uzi Mimi gbefa ndio nitakuwa mshindi mwaka 2045 tutakuwa tunezeeka
Kujifunza ni bora kwa kuwa elimu haina kikomo, kwani kuchangia fikra na wenzio ndiyo mwamko !!Tumezeeka na JF inatupa fursa ya kupashana habari, kubadilishana mawazo na kujifunza
Siku zote chini la jua hili hukosi kipya, matukio yamezagaa kila kona !! hadi magazeti hayaCop kuandika kila jamabo !!Mwamko wa kijijuza mambo yanayotokea sasa kwani kuna mapya kila siku
Kupuuzia mambo ya msingi ni kujirudisha nyumaJambo la muhimu ni kuzingatia ukweli wa mambo na umuhimu wake mengine ni ya kupuuzia
Nyuma ya pazia kuna mambo mengi yamefichika na kutoeleweka,khaswa wanaSiasa wanapo katiana dili na kuafiki masharti ya mikataba !!!!Kupuuzia mambo ya msingi ni kujirudisha nyuma
Mikataba mingi ni feki, rasilimali zetu watanzania zinapotea hasa madiniNyuma ya pazia kuna mambo mengi yamefichika na kutoeleweka,khaswa wanaSiasa wanapo katiana dili na kuafiki masharti ya mikataba !!!!
Madini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo!Mikataba mingi ni feki, rasilimali zetu watanzania zinapotea hasa madini
Mashimo ni janga kubwa la mazingira nchini, Ningpendelea wa weke sharti katika mkataba la kutunza na kufukia machimbo baada ya uvunaji..!!!Madini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo!
Mashimo yapo wazi magwangala mchanga umepelekwa nje ya nchiMadini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo!
Nchi imebaki mashimo tupu Dr Jpm yuko busy kufukia tuwe wapole!!!Mashimo yapo wazi magwangala mchanga umepelekwa nje ya nchi
Tuwe wapole kwani maendeleo yanakuja kidogo kidogoNchi imebaki mashimo tupu Dr Jpm yuko busy kufukia tuwe wapole!!!
Kidogo kidogo ndio mwendoTuwe wapole kwani maendeleo yanakuja kidogo kidogo