ongezeko la mimba za utotoni hv ss linapungua kwa kasi...Sukari iliyopo ndani ya uwanga ndiyo huchochea ongezeko.....
ongezeko la mimba za utotoni hv ss linapungua kwa kasi...Sukari iliyopo ndani ya uwanga ndiyo huchochea ongezeko.....
Kasi ya uvuvi haramu umekithiri huko baharini.....ongezeko la mimba za utotoni hv ss linapungua kwa kasi...
baharini napo kuna vumbi km ilivyo nchi kavu...Kasi ya uvuvi haramu umekithiri huko baharini.....
Maji ni uhai kwa kila kiumbe hai.nchi kavu ni sehemu ndogo sana ya dunia ukilinganisha na sehemu yaliyopo maji
Maji ni muhimu sana kwa kila kiumbe hai,kwan pasipo hakuna uhai tena.nchi kavu ni sehemu ndogo sana ya dunia ukilinganisha na sehemu yaliyopo maji
Hakuna uhai tena kama hakuna maji, chakula na hewa ya oksijen kuvuta pumziMaji ni muhimu sana kwa kila kiumbe hai,kwan pasipo hakuna uhai tena.
Pumzi zikiiisha na uhai unaisha.., Pumzi za uvumilizu una wastani Laa sivyo hasira itahusika..!!Hakuna uhai tena kama hakuna maji, chakula na hewa ya oksijen kuvuta pumzi
Punzi ni muhimu sana wakati wa kugondomola.Hakuna uhai tena kama hakuna maji, chakula na hewa ya oksijen kuvuta pumzi
Kugondomola ni lugha ya wapi mkuu, bila pumzi hakuna viumbe haiPunzi ni muhimu sana wakati wa kugondomola.
Hai ni uwezo wa kitu kuwa kizima,kwan pasipo uhai hakuna kiumbe hai bali ni ufu.Kugondomola ni lugha ya wapi mkuu, bila pumzi hakuna viumbe hai
Hai ni Duniani kwakuishi juu ya ardhi, ila uhai ukiisha maisha ya kaburini ndiyo nyumbani...Kugondomola ni lugha ya wapi mkuu, bila pumzi hakuna viumbe hai
Nyumbani kuna AC, feni, madirisha na milango lakini kwenye kaburi hakunaHai ni Duniani kwakuishi juu ya ardhi, ila uhai ukiisha maisha ya kaburini ndiyo nyumbani...
Hakuna kiumbe kisicho onja mauti, na Duniani matendo bila hesabu, ila huko kaburini ni hesabu bila matendo...Nyumbani kuna AC, feni, madirisha na milango lakini kwenye kaburi hakuna
Matendo yetu duniani tufanye mambo mema yanayompendeza Mungu, kusali, kuwatendea wema wazazi na kuishi vizuri na majiraniHakuna kiumbe kisicho onja mauti, na Duniani matendo bila hesabu, ila huko kaburini ni hesabu bila matendo...
majirani na ndugu wakat mwingine bora marijani...Matendo yetu duniani tufanye mambo mema yanayompendeza Mungu, kusali, kuwatendea wema wazazi na kuishi vizuri na majirani
Majirani wengi siku hizi wakenuwa wabinafsi sana, Yaani mabadiliko ya kijamii yanauhaba wa kujuana....Matendo yetu duniani tufanye mambo mema yanayompendeza Mungu, kusali, kuwatendea wema wazazi na kuishi vizuri na majirani
Kujuana sio kukopanaMajirani wengi siku hizi wakenuwa wabinafsi sana, Yaani mabadiliko ya kijamii yanauhaba wa kujuana....
Kujuana kwa wakinafulani kulipelekea kupoteza maendeleo tz... Nanii ana inshu za kujuana ndio maana anasafisha ili tuwe kama south 2025Majirani wengi siku hizi wakenuwa wabinafsi sana, Yaani mabadiliko ya kijamii yanauhaba wa kujuana....