atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,617
Ujinga ni kujifanya wajua kumbe hujuizinahusika siasa kila kona TZ hainaga ujinga !!
Ujinga ni kujifanya wajua kumbe hujuizinahusika siasa kila kona TZ hainaga ujinga !!
Hujui kuwa sipendagi ujinga !??!Ujinga ni kujifanya wajua kumbe hujui
Ujinga upi usioupenda?Hujui kuwa sipendagi ujinga !??!
Usioupenda ule mlenda Somalia restaurant pale kituo cha Machinga !!!Ujinga upi usioupenda?
Machinga wamejaa kibao KariakooUsioupenda ule mlenda Somalia restaurant pale kituo cha Machinga !!!
Kariakoo bei za bidhaa zipo juuMachinga wamejaa kibao Kariakoo
Juu tena,hata mtaa wa Congo?Kariakoo bei za bidhaa zipo juu
Kariakoo ndiyo center ya jiji la Dar hapo kuna mzunguko wa fedha ile mbaya hadi rekodi ya soko la Afrika Mashariki imevunjwaMachinga wamejaa kibao Kariakoo
Congo ni mtaa au nchi jirani ??Juu tena,hata mtaa wa Congo?
Jirani mpende kama unavyojipenda weweCongo ni mtaa au nchi jirani ??
wewe utanipenda nikiwa jirani yako !?Jirani mpende kama unavyojipenda wewe
Jirani yangu ni mtu safi sana tunajuliana hali na akipata tatizo lake langu na langu lake tunasaidianaCongo ni mtaa au nchi jirani ??
Barabarani ukikanyaga tuu bidhaa zao bahati mbaya,hakuna rangi utaacha kuonaMtaa wa kongo wamachinga wamepanga bidhaa zao mpaka barabarani
Wewe asiekupenda mpotezee tu vaa suruali ila usisahau kuanza na boxerJirani mpende kama unavyojipenda wewe
Boxer maarufu zamani ni mike tysonWewe asiekupenda mpotezee tu vaa suruali ila usisahau kuanza na boxer
Boxer imenivuka nilipo kuwa msalani !!Wewe asiekupenda mpotezee tu vaa suruali ila usisahau kuanza na boxer
Msalani ukiingia mlangoni tanguliza mguu wa kushotoBoxer imenivuka nilipo kuwa msalani !!
Msalani lazima ikuvuke maana yakupasa kujisaidiaBoxer imenivuka nilipo kuwa msalani !!
Kujisaidia sehemu ya wazi sio uungwanaMsalani lazima ikuvuke maana yakupasa kujisaidia