Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Binaadamu habebeki kila akipewa haridhiki na akinyimwa hulia na kulalama..... !!Sayari yetu ndio pekee inayoweza kukaliwa na binadamu
Binaadamu habebeki kila akipewa haridhiki na akinyimwa hulia na kulalama..... !!Sayari yetu ndio pekee inayoweza kukaliwa na binadamu
Kulalama sana kunaonyesha wewe ni dhaifuBinaadamu habebeki kila akipewa haridhiki na akinyimwa hulia na kulalama..... !!
Dhaifu hupelekesha kuwa mnyonge na kutojiamini hadi kuduwaa....Kulalama sana kunaonyesha wewe ni dhaifu
Kuduwaa hutofautiana kwa mtu mmoja na mwingineDhaifu hupelekesha kuwa mnyonge na kutojiamini hadi kuduwaa....
Mwingine hupenda vya bure na mwingine hupenda kujilipia... mwisho wa siku wote huridhiaKuduwaa hutofautiana kwa mtu mmoja na mwingine
Huridhia tu pale anaposhiba ila awapo na njaa huangaika sana binadamu ni kama mbogaMwingine hupenda vya bure na mwingine hupenda kujilipia... mwisho wa siku wote huridhia
Mr.blue alivuma sana enzi za zamaniMboga saba ni nyimbo ya Mr Blue
Zamani hamkumjua mshind sasa leo nmejtokezaMr.blue alivuma sana enzi za zamani
..zamani zile hakukua na kiki na kununua tuzoKina Mbaraka Mwinshehe nyimbo zao hazichuji ndio maana kamtaja mtu aliyeanza kuimba miaka kumi kadhaa kuwa wa zamani
Tuzo hizi za Kilimanjaro au..zamani zile hakukua na kiki na kununua tuzo
Au hata zile za Afrimma?!Tuzo hizi za Kilimanjaro au
Afrimama wasanii gani wa kitanzania walipendekezwa?Au hata zile za Afrimma?!
Daima kilisho asili ndiyo kitadumu ila viraka huchuja mapema !!!Kununua tuzo kunawapa umaarufu wa muda ila muziki mzuri hudumu daima.
Walipendekezwa wanaobebwa na chama tawala...Afrimama wasanii gani wa kitanzania walipendekezwa?
Chama tawala sidhani... Kwani na kwenye mziki siasi zinahusika?Walipendekezwa wanaobebwa na chama tawala...
zinahusika siasa kila kona TZ hainaga ujinga !!Chama tawala sidhani... Kwani na kwenye mziki siasi zinahusika?