Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Muziki wa michael jackson na uchezaji wake kwenye pop ulikuwa ni wa kipekee, uzuri zaidi mimi nimezaliwa 29augst tarehe moja na Michael Jackson
Michael Jackson alifanyiwa operation ya kubadili sura yake ,na ndo mana pua take ilionekana imechongoka, pia kabla ya kufa alibadili dini .......
 
Back
Top Bottom