fansureboy
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 271
- 320
Wananchi pia kutii sheria na taratib ili kuidumisha amaniKitu kikubwa kwa viongozi ni kuthamini wananchi
Wananchi pia kutii sheria na taratib ili kuidumisha amaniKitu kikubwa kwa viongozi ni kuthamini wananchi
Wananchi nao wapata machungu sasa kwa haki waloituma kwenye uchaguz maana wanafunz wengi elimu ya juu ni malalamiko kuhusu mkopo....Kitu kikubwa kwa viongozi ni kuthamini wananchi
Wananchi ni vigumu kuwaridhisha wote hiyo kweli.., lakini ipo njia ya kuwa rahuisishia huduma za msingi....Kitu kikubwa kwa viongozi ni kuthamini wananchi
Huduma za msingi ni pamoja na huduma bora hospitaliniWananchi ni vigumu kuwaridhisha wote hiyo kweli.., lakini ipo njia ya kuwa rahuisishia huduma za msingi....
Hospitalini khaswa ndiyo muhimu kwa kuwa asilimia kubwa wa TZ kuna udhaifu wa afya !!!Huduma za msingi ni pamoja na huduma bora hospitalini
Mkopo utolewe kwa wanafunzi ili baadae tupate wauguzi wa kutosha hospitaliniWananchi nao wapata machungu sasa kwa haki waloituma kwenye uchaguz maana wanafunz wengi elimu ya juu ni malalamiko kuhusu mkopo....
Hospitalin nako tabu malalamiko kila siku dawa hamnaMkopo utolewe kwa wanafunzi ili baadae tupate wauguzi wa kutosha hospitalini
Afya za watanzania ni muhimu kuliko kitu chochote ni bora kukaboreshwa hasa uwepo wa dawa na kujitolea damuHospitalini khaswa ndiyo muhimu kwa kuwa asilimia kubwa wa TZ kuna udhaifu wa afya !!!
Hamna wauguzi wa kutosha, vifaa, dawa pamoja na kujitolea damuHospitalin nako tabu malalamiko kila siku dawa hamna
Damu itapatikanaje kutokana na mlo duni na hali ya maisha ndo hyo ipo juu Kama mlima kilimanjaroHamna wauguzi wa kutosha, vifaa, dawa pamoja na kujitolea damu
Kilimanjaro mlima huu umekuwa ukitangazwa kama soda ya Cocacola.., kila nchi hudai kilimanjaro upo kwake.. wakati wenye kilimanjaro wamebaki kutupiana madongo bungeni....Damu itapatikanaje kutokana na mlo duni na hali ya maisha ndo hyo ipo juu Kama mlima kilimanjaro
Mlima kilimanjaro ni mlima mrefu namba moja kwa Africa, Tanzania tunajivunia pamoja na wakenyaDamu itapatikanaje kutokana na mlo duni na hali ya maisha ndo hyo ipo juu Kama mlima kilimanjaro
Bungeni kupitishwe sheria kali ili Tanzania tufaidike zaidi na mlima kilimanjaro zaidi ya wakenyaKilimanjaro mlima huu umekuwa ukitangazwa kama soda ya Cocacola.., kila nchi hudai kilimanjaro upo kwake.. wakati wenye kilimanjaro wamebaki kutupiana madongo bungeni....
Wakenya na WaTz wametoka mbali pamoja.., hivyo wanasiasa wenye masilahi binafsi wasiwagawe !!!Mlima kilimanjaro ni mlima mrefu namba moja kwa Africa, Tanzania tunajivunia pamoja na wakenya
Wakenya ndo wanaufaidi kuliko sisi tumebaki kuona jina tuu bila kuutangaza vyema Kama mojawapo ya Mali asili ya nchi yetuMlima kilimanjaro ni mlima mrefu namba moja kwa Africa, Tanzania tunajivunia pamoja na wakenya
Nchi yetu ina utajiri mkubwaWakenya ndo wanaufaidi kuliko sisi tumebaki kuona jina tuu bila kuutangaza vyema Kama mojawapo ya Mali asili ya nchi yetu
Mkubwa atabaki kuwa mkubwa hata kama akiwa kilazaNchi yetu ina utajiri mkubwa
Mkubwa atabaki kuwa mkubwa hata akiwa kilazaMkubwa atabaki kuwa mkubwa hata kama akiwa ******
Hoteli za kitalii ni nzuri sana hasa zile ambazo zipo chini ya usimamizi wa wazungu****** iko nje ya ubora wa hoteli