fansureboy
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 271
- 320
Kodi ndo kikwazo kwa vijana wengi kuendelea kuish na wazazNyumba chafu mie siwezi ishi hata kama silipishwi kodi.....
Kodi ndo kikwazo kwa vijana wengi kuendelea kuish na wazazNyumba chafu mie siwezi ishi hata kama silipishwi kodi.....
Kodi kubwa ya nyumba safi ni nzuri kwa kuishi na familiaNyumba chafu mie siwezi ishi hata kama silipishwi kodi.....
Wazazi na wanafamilia washauriana vipi malezi ya vijana wao, sababu maadili yanatoweka...Kodi ndo kikwazo kwa vijana wengi kuendelea kuish na wazaz
Wazazi makini wanakusa na malezi bora katika familiaKodi ndo kikwazo kwa vijana wengi kuendelea kuish na wazaz
Familia bora ni ile yenye ushirikiano wa mawazo baina ya wanafamilia na mawazo yao wakayafanyia kazWazazi makini wanakusa na malezi bora katika familia
Kazi ifanywe ya halali kwa baba ili kumjengea mazingira mazuri mtotoFamilia bora ni ile yenye ushirikiano wa mawazo baina ya wanafamilia na mawazo yao wakayafanyia kaz
Kazi hiyo ni ndogo tu.., inatupata kuanzisha baraza la ushauri katika kila mitaa, kama vile enzi za zamani walipokuwa wazee wa mtaani kukutana na kutatua jambo kiurahisi !!!Familia bora ni ile yenye ushirikiano wa mawazo baina ya wanafamilia na mawazo yao wakayafanyia kaz
Kazi zenyewe zitoke wapi eti wanahakiki watumishi hewa!Familia bora ni ile yenye ushirikiano wa mawazo baina ya wanafamilia na mawazo yao wakayafanyia kaz
Mtoto asome kwa bidii ile awe kiongoz bora wa familia yake hapo baadaeKazi ifanywe ya halali kwa baba ili kumjengea mazingira mazuri mtoto
Kazi ndo kila kitu katika miasha bila ivo uwez pata demu atakayekupenda bila kaz na mwishowe utaishia kuwa kabwela ...Familia bora ni ile yenye ushirikiano wa mawazo baina ya wanafamilia na mawazo yao wakayafanyia kaz
Kabwela nyimbo aliyoimba stamina na rich mavoko ina ujumbe mzuri katika maishaKazi ndo kila kitu katika miasha bila ivo uwez pata demu atakayekupenda bila kaz na mwishowe utaishia kuwa kabwela ...
Kabwela anaunafu katika jamii kuliko malofa !!! Yaani kila dongo chafu hutupiwa raia asiye na hatia...Kazi ndo kila kitu katika miasha bila ivo uwez pata demu atakayekupenda bila kaz na mwishowe utaishia kuwa kabwela ...
Hatia kuwa nayo au kutokuwa nayo sio tija Bali Sabuni ya roho pesa ndiyo yaweza tathmin haki ya mtu ilipoKabwela anaunafu katika jamii kuliko malofa !!! Yaani kila dongo chafu hutupiwa raia asiye na hatia...
Familia bora ni ile yenye ushirikiano wa mawazo baina ya wanafamilia na mawazo yao wakayafanyia kaz
ilipo fika wakati wa kupiga kura walibembeleza na kujikomba kinamna.., khaah baada ya kura hakuonekana mtu kbs ispokuwa tuliachiwa vumbi.....Hatia kuwa nayo au kutokuwa nayo sio tija Bali Sabuni ya roho pesa ndiyo yaweza tathmin haki ya mtu ilipo
Hatia kuwa nayo au kutokuwa nayo sio tija Bali Sabuni ya roho pesa ndiyo yaweza tathmin haki ya mtu ilipo
Bora liende !! ni tija na matokeo ya uongozaji wa kibinafsi na ufisadi wa wenye madaraka..kazi inayolingana na kipato huongeza utendaji wa kazi na ubora.
Utu nao una thamani sana ila wenye hela wanaona sio kituilipo haki pana utu
Madaraka yatumike vizuri kwa maslahi ya wananchiBora liende !! ni tija na matokeo ya uongozaji wa kibinafsi na ufisadi wa wenye madaraka..
Kitu kikubwa kwa viongozi ni kuthamini wananchiUtu nao una thamani sana ila wenye hela wanaona sio kitu