Mikopo haitolewi kwa njia ya kamariWaziri na serikali wangebet mechi za jana wanafunzi wote wangepata mikopo
Kamari ni haramu/dhambiMikopo haitolewi kwa njia ya kamari
Dhambi kubwa ni kudhulumu mali ya yatimaKamari ni haramu/dhambi
Yatima wengine hata shida ya mali hawana kwani walizonazo zinawatoshaDhambi kubwa ni kudhulumu mali ya yatima
Zinawatosha mali walizopata lakini ni haki yao kupata misaada hasa kwa watoto wadogo waliopoteza mama na babaYatima wengine hata shida ya mali hawana kwani walizonazo zinawatosha
Mama na baba ni wa kuheshimiwaZinawatosha mali walizopata lakini ni haki yao kupata misaada hasa kwa watoto wadogo waliopoteza mama na baba
Kuheshimiwa kwa mtu ni kutokana na yeye mwenyewe anavyojiweka na kujithamini hasa kwenye kauli nzuriMama na baba ni wa kuheshimiwa
Nzuri unaitafsiri vipi?Kuheshimiwa kwa mtu ni kutokana na yeye mwenyewe anavyojiweka na kujithamini hasa kwenye kauli nzuri
Vipi nianze kuizungumzia kauli nzuri, kwa kifupi ni maneno yanayojenga, yanayotia moyo na kumpa mtu farajaNzuri unaitafsiri vipi?
Faraja ya kweli hukupa furaha moyoniVipi nianze kuizungumzia kauli nzuri, kwa kifupi ni maneno yanayojenga, yanayotia moyo na kumpa mtu faraja
Moyoni mwa mtu ni sawa na msitu sababu huwezi jua nini ana fikiria na nini anataka kufanyaFaraja ya kweli hukupa furaha moyoni
kufanya kazi siku ya jumapili ni khiyari yako mwenywe japo ni siku ya mapumziko...Moyoni mwa mtu ni sawa na msitu sababu huwezi jua nini ana fikiria na nini anataka kufanya
Mapumziko kwa afya, akili ikipata mapumziko ya kutosha inakuwa bora kwa kufanya maamuzi sahihikufanya kazi siku ya jumapili ni khiyari yako mwenywe japo ni siku ya mapumziko...
Sahihi ya upotoshi wa gazeti la Mwanahalisi limelubalika kuchapishwa kufidia ....Mapumziko kwa afya, akili ikipata mapumziko ya kutosha inakuwa bora kwa kufanya maamuzi sahihi
Kufidia ili kupisha ujenzi wa barabara pesa hua hazitoshi kabisaSahihi ya upotoshi wa gazeti la Mwanahalisi limelubalika kuchapishwa kufidia ....
Kabisa kabisa makili humu sina mpinzani nami ndo mshindiKufidia ili kupisha ujenzi wa barabara pesa hua hazitoshi kabisa
Mshindi ni mimi, ila wadau nimepatwa na msiba wa shangazi yangu. Dua zenu ndio nawaombeniKabisa kabisa makili humu sina mpinzani nami ndo mshindi
Nawaombeni tumtakie pole ndugu yetu.Mshindi ni mimi, ila wadau nimepatwa na msiba wa shangazi yangu. Dua zenu ndio nawaombeni
Huzuni na majonzi ni mitihani ya Mungu. Mungu ailaze maala pema roho ya marehemu Shangazi wa kubwa lao. Pole sanaNawaombeni tumtakie pole ndugu yetu.
Pole sana mkuu: Mungu awape nguvu katika kipindi hiki cha huzuni na majonzi