supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kutumbua majibu si kazi rahisi inataka ushujaa kama mtoto kwa mamaShujaa wetu keshapatikana na ndiyo ameanza kutumbua...
Kutumbua majibu si kazi rahisi inataka ushujaa kama mtoto kwa mamaShujaa wetu keshapatikana na ndiyo ameanza kutumbua...
Mdogo wangu ameenda shule na mimi sijambo wote tumeamka salama pamoja na mamaMarhabaa, je umeamka aje mdogo wangu?
Mama 'anguEee mtoto alopotea sokoni alilia kwa mayowe.....Mdogo wangu ameenda shule na mimi sijambo wote tumeamka salama pamoja na mama
Mayowe yalisaidia sana waungwana wakamchukua na kumpeleka kituo cha polisi hatimae akamuona mama yake mzaziMama 'anguEee mtoto alopotea sokoni alilia kwa mayowe.....
Peke Yake mama huyo alikuwa kachanganyikiwa baada ya kupoteza poochi lake lenye pesa za manunuzi ya mboga..!!Mama yake mzazi alimwacha aje mtoto peke yake?
Mtoto peke yake hawezi kupata malezi bora bila ushirikiano wa walimu na wazaziMama yake mzazi alimwacha aje mtoto peke yake?
Wazazi wa siku hizi huja juu mtoto anapoadhibiwa na mtu bakiMtoto peke yake hawezi kupata malezi bora bila ushirikiano wa walimu na wazazi
Mtu baki hajui uchungu wa mwanaWazazi wa siku hizi huja juu mtoto anapoadhibiwa na mtu baki
Mtu baki anaweza kukupa msaada mzuri wa mawazo kuliko nduguWazazi wa siku hizi huja juu mtoto anapoadhibiwa na mtu baki
Ndugu huwa karibu nawe uwapo na pesaMtu baki anaweza kukupa msaada mzuri wa mawazo kuliko ndugu
Nazo ziwe pesa nyingi pamoja na nyumba na gariPesa ni sabuni ya roho kwa wenye nazo
Wenye nazo wameficha maburungutu ya fedha huku wakisubiri kuona Rais wa JMT atabadili serufi za fedha ??Pesa ni sabuni ya roho kwa wenye nazo
Gari linagharama km likiwa halikuingizii kpato bola uliuze uongeze nyumbaNazo ziwe pesa nyingi pamoja na nyumba na gari
Gari lako linapo kamatwa na trafik usipanic wewe elewana nae tu, atakulipisha faini elfu thalathini..Nazo ziwe pesa nyingi pamoja na nyumba na gari
Nyumba chafu mie siwezi ishi hata kama silipishwi kodi.....Gari linagharama km likiwa halikuingizii kpato bola uliuze uongeze nyumba
Nyumba ndo kila kitu bora usiwe na gari unaweza kujistiri wewe na familiaGari linagharama km likiwa halikuingizii kpato bola uliuze uongeze nyumba