supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Uzi umeisha fundi ameshindwa kushona nguoZingatia sheria unapopest huu uzi
Uzi umeisha fundi ameshindwa kushona nguoZingatia sheria unapopest huu uzi
Kigoma kwenu Massimu Jr.? mbona mbishi hivi, umeona papara zako rejea...Reli imefika mwisho kigoma
Kigoma kuna wasanii wengi wa bongofleva kama linex na chegeReli imefika mwisho kigoma
Rejea wanamuziki wa kigoma kama diamond alikiba na chegeKigoma kwenu Massimu Jr.? mbona mbishi hivi, umeona papara zako rejea...
Chege na wenzake wanastahili sifa kubwa kwa mchango wao katika sanii....Rejea wanamuziki wa kigoma kama diamond alikiba na chege
Sanaa wanaoileta wasanii wa kizazi kipya hakuna ubunifuChege na wenzake wanastahili sifa kubwa kwa mchango wao katika sanii....
Ubunifu wa hali ya juu unahitajika hapa nchini, kwa kuwa ukuwaji umepaa juu bila takawimu za awali....Sanaa wanaoileta wasanii wa kizazi kipya hakuna ubunifu
Awali tulikuwa na imani kubwa kwa viongozi wetu sekta za maliasili na utaliiUbunifu wa hali ya juu unahitajika hapa nchini, kwa kuwa ukuwaji umepaa juu bila takawimu za awali....
Utalii wetu tunaweza kuugawa namna tatu.., Moja Utalii wa ndani, pili utalii wa Afrika mashariki na tatu utalii musimu maalumu...Awali tulikuwa na imani kubwa kwa viongozi wetu sekta za maliasili na utalii
Maalumu kwa faida ya wananchi katika kuongeza bato la taifa kupitia wageniUtalii wetu tunaweza kuugawa namna tatu.., Moja Utalii wa ndani, pili utalii wa Afrika mashariki na tatu utalii musimu maalumu...
Wageni pekee wakiona kuna watalii wa ndani.., basi watafanya mashindano kuja maradufu..Maalumu kwa faida ya wananchi katika kuongeza bato la taifa kupitia wageni
Kuja maradufu hasa msimu wa joto wanakuja likizo kupumzika na kujionea maajabu ya mali asiliWageni pekee wakiona kuna watalii wa ndani.., basi watafanya mashindano kuja maradufu..
Maliasili ya nchi ni lazima itunzwe kwa kuwekewa mazingira mazuri iweze kustawisha vivutivo !!Kuja maradufu hasa msimu wa joto wanakuja likizo kupumzika na kujionea maajabu ya mali asili
Nyani masikni amekukosea nini..hadi umnange kutwa !!!?Asili ya mwanadamu haihusiani kabisa na nyani
Vivutio vyetu hasa kwenye kuzitunza mbuga zetu za wanyama zisiharibiwe na wafugaji pamoja na ujangili wa mauaji ya temboMaliasili ya nchi ni lazima itunzwe kwa kuwekewa mazingira mazuri iweze kustawisha vivutivo !!
Tembo ndiyo mlengwa namba moja !!! yaani tukipepesa macho tu ndovu wanashughulikiwa kwa kuchangiwa na mafisadi, majangili na watumiaji wa pembe !!!Vivutio vyetu hasa kwenye kuzitunza mbuga zetu za wanyama zisiharibiwe na wafugaji pamoja na ujangili wa mauaji ya tembo
Tembo ndiyo mlengwa namba moja !!! yaani tukipepesa macho tu ndovu wanashughulikiwa kwa kuchangiwa na mafisadi, majangili na watumiaji wa pembe !!!
Waganga sio sana kwa pembe za ndovu bali wanatumia pembe za ng'ombe, ili upate pembe za ndovu lazima umuuwe tembo kwanzaPembe hutumika sana na waganga