Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Usiku michezo inachezwa sana katika mataifa yaliyoendelea lakini hapa Tanzania tukiweka mechi za usiku inabidi kuwe na ulinzi wa kutosha kwa wezi na wakabaji
Wakabaji na wabakaji upande na wachakachuaji umeme upande na polisi/mgambo nao upande.., sasa starehe ya kwenda kuangalia mechi ipo wapi?? Wahusika lizungumzieni !!!
 
Wahusika lizungumzieni pia swala la malipo ya wachezaji wetu na udhamini uliobora, sio mchezaji akicheza mpaka anazeeka hana hata hela ya kujenga nyumba
 
Nyumba ya simba haikosi mifupa, iwejee nguvu na ujana wa mtu utumike bila malipo stahikii?
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom