supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Nyani halisi bado anatembea na miguu na mikono, nyani ni babu yetu tulivyofundishwa shule, kumkataa nyani ni sawa na kumkataa babuNayoyote atakaekubali muktadha huo atakuwa nyani halisi.....
Nyani halisi bado anatembea na miguu na mikono, nyani ni babu yetu tulivyofundishwa shule, kumkataa nyani ni sawa na kumkataa babuNayoyote atakaekubali muktadha huo atakuwa nyani halisi.....
Babu ni mja mwenye umri ulo jaza hekima na busara....Nyani halisi bado anatembea na miguu na mikono, nyani ni babu yetu tulivyofundishwa shule, kumkataa nyani ni sawa na kumkataa babu
Uongo haudumu, Ndugu sema kweli japo ukweli unauma...!!!Babu gani mwenye asili ya nyani ni uongo
Uongo vipi unakataa asili yako ulipotoka huo ni utumwa kukataa undugu na nyaniBabu gani mwenye asili ya nyani ni uongo
Sasa wafikiri njia ipi ya kuukana mtaala huo? Hebu tafakari utata mwingine wa chanzo cha Mvua... wametuaminsha eti maji yana elea angani......Busara hizo za kutuambia kwamba sisi asili yetu ni manyani huo utani sasa
Ukweli unauma japo mchungu, kama historia ya asili yetu wapi tumetoka tu tunadanganywa shuleni, vipi kuhusu historia ya bara la afrika na TanganyikaUongo haudumu, Ndugu sema kweli japo ukweli unauma...!!!
Nyani ni kiumbe kama viumbe vingine!! hashakuma kutushabihisha na wanyama..Uongo vipi unakataa asili yako ulipotoka huo ni utumwa kukataa undugu na nyani
Wanyama wengi wanapatikana Tanzania mfano tembo, twiga, chui na simbaNyani ni kiumbe kama viumbe vingine!! hashakuma kutushabihisha na wanyama..
Simba alijulikana kuwa mfalme wa porini enzi zile, ila siku hizi amechacha kiasi......Wanyama wengi wanapatikana Tanzania mfano tembo, twiga, chui na simba
Kiasi chake yupo vile vile mkuu sema hujakutana nae ni vile tu mnyama akiongelewa sana unamchukulia kawaida kama mazoea, naskia ulaya hakuna simbaSimba alijulikana kuwa mfalme wa porini enzi zile, ila siku hizi amechacha kiasi......
Simba wa sasa ni wa Supamaket na Sarakasi, thamani yake umeshuka hadi huku ulaya wamtemblea zoo kila Sunday !!!Kiasi chake yupo vile vile mkuu sema hujakutana nae ni vile tu mnyama akiongelewa sana unamchukulia kawaida kama mazoea, naskia ulaya hakuna simba
simba safari hii inafanya vizuri kwenye ligi kuuKiasi chake yupo vile vile mkuu sema hujakutana nae ni vile tu mnyama akiongelewa sana unamchukulia kawaida kama mazoea, naskia ulaya hakuna simba
Zoo kila sunday unaweza kumuona ni sawa tu lakini haishushi thamani yake na ni vile hayupo huru akiwa porini hakuna mfalme kama simbaSimba wa sasa ni wa Supamaket na Sarakasi, thamani yake umeshuka hadi huku ulaya wamtemblea zoo kila Sunday !!!
Ligi kuu yanga na azam msimu huu wataisoma namba sababu mpaka sasa ligi inaongozwa na simbasimba safari hii inafanya vizuri kwenye ligi kuu
simba pamoja na ukubwa wake ananyonywa damu na mbuLigi kuu yanga na azam msimu huu wataisoma namba sababu mpaka sasa ligi inaongozwa na simba
SIMBA hii ninayo ijua mie ni kama simba wa sarakati hufoka na kunguruma ila makali na uvamizi ameshaduwa' !!Ligi kuu yanga na azam msimu huu wataisoma namba sababu mpaka sasa ligi inaongozwa na simba
Mbu hata binadamu pia anatunyonya ni mjanja sana anavizia tukiwa tumelala na ni vile haliwi na chakula hana nyama lakini angekuwa mkubwa kama swala angeliwa na simbasimba pamoja na ukubwa wake ananyonywa damu na mbu
Mbu ni mdudu mwenye macho mengi na meno yake kama msumeno !!!simba pamoja na ukubwa wake ananyonywa damu na mbu