OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Wenyewe kwa wenyewe atupendani mfano bodi kutunyima mikopo ya elimu, ni udhibitisho tosha kuwa atupendani.
Atupendani kwa sababu eti kwanini hatuwaabudu viongozi "MunguMtu"Wenyewe kwa wenyewe atupendani mfano bodi kutunyima mikopo ya elimu, ni udhibitisho tosha kuwa atupendani.
Mungu mtu hakuna, Mungu akiwa na sifa za binadamu atatusaidia vipi binadamu wenzake, ataanza kutamani starehe, ataumwa, atahitaji kupumzika, Viongozi wa serikali wawajibike kwani uongozi ni witoAtupendani kwa sababu eti kwanini hatuwaabudu viongozi "MunguMtu"
Wito na viapo walivyo ahidi vitawasuta kidamunasi na kuwaumbuwa bila tashtiti....Mungu mtu hakuna, Mungu akiwa na sifa za binadamu atatusaidia vipi binadamu wenzake, ataanza kutamani starehe, ataumwa, atahitaji kupumzika, Viongozi wa serikali wawajibike kwani uongozi ni wito
Bila tashtiti wanaweza kufanya vizuri, Unajua ahadi ni kitu kibaya sana yani unawaahidi watu halafu hutekelezi unawadanganya tena, maisha ya wanasiasa ni hatari kwa Mungu na hapa dunianiWito na viapo walivyo ahidi vitawasuta kidamunasi na kuwaumbuwa bila tashtiti....
Wake ni wa4 kuoa ni ruhsa ikiwa una uwezo na uadilifuDuniani ni mapito tu kila mtu asujudu kwa mola wake
Uadilifu sasa ndo mtihani kwa wengi.Wake ni wa4 kuoa ni ruhsa ikiwa una uwezo na uadilifu
Wengi kama akina ukhuty hawakubali kuchangia Rijali, japo ana uadilifu na uwezo....Uadilifu sasa ndo mtihani kwa wengi.
Uwezo kama upo oa wake angalau kuanzia wawili ili uepuke michepukoWengi kama akina ukhuty hawakubali kuchangia Rijali, japo ana uadilifu na uwezo....
Michepuko imekithiri kwa sababu idadi kubwa ya wanawake kuova-teki wanaume....Uwezo kama upo oa wake angalau kuanzia wawili ili uepuke michepuko
Wanaume nao hawataki kuoa bali wanachukua wake za watuMichepuko imekithiri kwa sababu idadi kubwa ya wanawake kuova-teki wanaume....
Watu wengi hawaelewi muktadha wa mathna, wa thulatha wa rubaa, ili kuweka balance ya wanandoa....Wanaume nao hawataki kuoa bali wanachukua wake za watu
Wanandoa wengi wanawake hawataki uke wenzaWatu wengi hawaelewi muktadha wa mathna, wa thulatha wa rubaa, ili kuweka balance ya wanandoa....
Wenza unakubalika sehemu kadha zenye utamaduni asili......Wanandoa wengi wanawake hawataki uke wenza
Asili yetu ni adam na eva(hawa) lakini historia inatuambia eti sisi tumetokana na nyani wazungu ni noma sijui walikuwa na lengo gani mpaka shuleni tunafundishwa kutuambia sisi ni manyani wenye akiliWenza unakubalika sehemu kadha zenye utamaduni asili......
Akili nyingi yaharibu maarifaAsili yetu ni adam na eva(hawa) lakini historia inatuambia eti sisi tumetokana na nyani wazungu ni noma sijui walikuwa na lengo gani mpaka shuleni tunafundishwa kutuambia sisi ni manyani wenye akili
Maarifa tuliyopewa shule na mpaka picha za nyani/sokwe kwenye vitabu tumechorewa kwenye vitabu vya historiaAkili nyingi yaharibu maarifa
Nayoyote atakaekubali muktadha huo atakuwa nyani halisi.....Historia ya kutuambia sisi tumetokana na nyani Mimi sikubaliani nayo