Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kujihami ni ngao ya kila aliyeumbwa, hata kobe hujihami....scorpion ni mdudu anayetumia chura kujihami
Kujihami ni ngao ya kila aliyeumbwa, hata kobe hujihami....scorpion ni mdudu anayetumia chura kujihami
Kujihami kupo sema mtaani lazima ukabwe ikifika saa sitascorpion ni mdudu anayetumia chura kujihami
Nchini kuna njia nyingi za kuhadaana na kupotezana malengo....Scorpion ni KIK iliyoandaliwa mahsusi ili kuwafanya wananchi tusidiscuss vitu vya maana kama kudorora kwa uchumi nchini
Malengo yako unaweza kupotea njia lakini jitahidi kurudia rudia bila kukata tamaa usichoke hata kama ni mara sitaNchini kuna njia nyingi za kuhadaana na kupotezana malengo....
Sitasahau maishani nilipotiwa mikononi baada ya kuvunja sheria...Malengo yako unaweza kupotea njia lakini jitahidi kurudia rudia bila kukata tamaa usichoke hata kama ni mara sita
Sheria za mpira kwenye ushindi wewe shinda unavyotaka si umeona ujerumani walimfunga brazil goli sabaSitasahau maishani nilipotiwa mikononi baada ya kuvunja sheria...
Saba Saba ni sherehe ya wafanya biashara kuonyesha bidhaa na mazao mbalimbaliSheria za mpira kwenye ushindi wewe shinda unavyotaka si umeona ujerumani walimfunga brazil goli saba
Mbalimbali usikubari kukaa kaa karibu,fata nyuki ule asali.Saba Saba ni sherehe ya wafanya biashara kuonyesha bidhaa na mazao mbalimbali
Asali mbichi hutumika kama tiba ya magonjwa kadha, na bei yake ina gharama....Mbalimbali usikubari kukaa kaa karibu,fata nyuki ule asali.
Mazao mbalimbali mbali yanauzwa hata kwenye sikukuu ya nane naneSaba Saba ni sherehe ya wafanya biashara kuonyesha bidhaa na mazao mbalimbali
Mshindi ni mimi wewe utaingia kumi bora jitahidi ushike nafasi ya naneGharama za maisha sasa hivi zinazidi kuwa juu Mimi ndo mshindi
Nanenane moro niliokota mtoto wa ukweliMshindi ni mimi wewe utaingia kumi bora jitahidi ushike nafasi ya nane
Ukweli ukidhihiri, Uongo hutoweka....Nanenane moro niliokota mtoto wa ukweli
Ukweli upate namba nane ya ukweli ndio utafurahi sio namba tisaNanenane moro niliokota mtoto wa ukweli
Tisa ina ashiria nini, Mkuu supermarket hebu fafanua kinagaubaga....Ukweli upate namba nane ya ukweli ndio utafurahi sio namba tisa
Kinagaubaga ndo nin emu elezea kabla sijakuchananachana kama simba wa manyara wanaopanda mitiTisa ina ashiria nini, Mkuu supermarket hebu fafanua kinagaubaga....
Miti tuitunze ili kuweka mazingira mazuriKinagaubaga ndo nin emu elezea kabla sijakuchananachana kama simba wa manyara wanaopanda miti
Miti ya misitu yetu umekuwa dili na ipo hatarini kutoweka na kusababisha ujio wa jangwa...Kinagaubaga ndo nin emu elezea kabla sijakuchananachana kama simba wa manyara wanaopanda miti
Mazuri yapo ila mabaya tunayazalisha wenyewe....Miti tuitunze ili kuweka mazingira mazuri