supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mshindi ni mimi hapa na nimeshatangwa mapema asubuhi ya leoMimi mshindi.
Mshindi ni mimi hapa na nimeshatangwa mapema asubuhi ya leoMimi mshindi.
Mshindi wa lig dogo, lakn cyo ligi hii,Mimi mshindi.
Sijifagilii nyumbani kwa kuwa kuna h/geli dada wakazi yake, kila mtu kapangiwa wadhifa...Mshindi wa lig dogo, lakn cyo ligi hii,
Naptsha vijambo, wala sijifagiliii,
Wadhifa wa mwalim Juma ni kufundisha darasa la kwanzaSijifagilii nyumbani kwa kuwa kuna h/geli dada wakazi yake, kila mtu kapangiwa wadhifa...
Kwanza tujipange na tuorodheshe matakwa ya wananchi kabla hatujaenda kudai haki.....Wadhifa wa mwalim Juma ni kufundisha darasa la kwanza
Kudai haki ni jambo la msingi na tumeanza kufundishwa tangu tupo darasa la piliKwanza tujipange na tuorodheshe matakwa ya wananchi kabla hatujaenda kudai haki.....
Pili mtoto wa mzee Jongo, amefanikiwa kujiunga na chuo mwaka huu hapo Dar !!!Kudai haki ni jambo la msingi na tumeanza kufundishwa tangu tupo darasa la pili
Dar chura kijijini tabia.Pili mtoto wa mzee Jongo, amefanikiwa kujiunga na chuo mwaka huu hapo Dar !!!
Tabia za wadada ndo mlivyo yupo tayari kutumia sindano na vidonge kutwa mara tatuDar chura kijijini tabia.
Sababu kubwa ya uchumi kutopaa ni uchakachuaji wa mazao yetu visivyo na kiwango !!!Tatu ndio bao rasmi zilizopitishwa kimaadili na kisheria.
Kuongeza zingine ni mbwembwe tu, hazina sababu.
Nne kwa kingereza inaitwa?Kiwango cha wakulima wadogo kutokana na hali duni wakati mwingine wanavuna mahindi gunia nne
Inaitwa four na katika hesabati namba inayofuatia ni tanoNne kwa kingereza inaitwa?
Inaitwa "iga ufe" ni msemo wa kushobokea !!!Nne kwa kingereza inaitwa?
Kushobokea watu mtaani wanakukimbia na wengine wanakupa tanoInaitwa "iga ufe" ni msemo wa kushobokea !!!

Tano bila msukumo wa maana utaishia kama Scorpion !!!Kushobokea watu mtaani wanakukimbia na wengine wanakupa tano![]()
Scorpion wapo wengi maana kuna wakabaji wengine wanaanza kukaba usiku saa sitaTano bila msukumo wa maana utaishia kama Scorpion !!!
Scorpion ni KIK iliyoandaliwa mahsusi ili kuwafanya wananchi tusidiscuss vitu vya maana kama kudorora kwa uchumi nchiniTano bila msukumo wa maana utaishia kama Scorpion !!!
scorpion ni mdudu anayetumia chura kujihamiTano bila msukumo wa maana utaishia kama Scorpion !!!