supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Katendwa na kuteseka juu ya mapenzi kila msanii anaimba hivyo hivyo tu wamewafanya kila kijana sasa hivi analalamika na kutendwa mapenziUjumbe wenyewe kila mtu anasema katendwa
Katendwa na kuteseka juu ya mapenzi kila msanii anaimba hivyo hivyo tu wamewafanya kila kijana sasa hivi analalamika na kutendwa mapenziUjumbe wenyewe kila mtu anasema katendwa
Mapenzi matamu niwapo na we mpenzi..Katendwa na kuteseka juu ya mapenzi kila msanii anaimba hivyo hivyo tu wamewafanya kila kijana sasa hivi analalamika na kutendwa mapenzi
Kweli yatatoa watu roho kwa wanaoendekeza sababu wasanii tunao wategemea kwenye muvi na mziki wanalalamika tu sasa jamii nzima tumejikuta tunalalamikaMapenzi haya yatatutoa roho kwa kweli
Mpenzi nyimbo hii ya ray c nzuri sana mpaka unaweza kusinzia ukiimbiwaMapenzi matamu niwapo na we mpenzi..
Ukiimbiwa shurti ulalee...Mpenzi nyimbo hii ya ray c nzuri sana mpaka unaweza kusinzia ukiimbiwa

Ulale kifudi fudi au kiubavu ubavu ulalie mto hakikisha umelalia godoro dodomaUkiimbiwa shurti ulalee...![]()
Mwisho wa siku wote tutaambulia kuzagazaga barabarani maana hakuna mTZ msafi.....Twazijua na tunaendelea kujifunza kadiri inavyowezekana, kwani elimu haina mwisho
Mwisho wa yote napenda kuwashkuru wote mlioshiriki kwenye uzi ila mimi ndo MSHINDI!Twazijua na tunaendelea kujifunza kadiri inavyowezekana, kwani elimu haina mwisho
Mshindi wetu tutampa tuzo la namna ya kipekee, kwa sharti aje mwenyewe kupokea....Mwisho wa yote napenda kuwashkuru wote mlioshiriki kwenye uzi ila mimi ndo MSHINDI!
Kupokea iyo tuzo ntashindwa kuja mwenyewe coz hivi sasa niko nje nchi mkuu.Mshindi wetu tutampa tuzo la namna ya kipekee, kwa sharti aje mwenyewe kupokea....
Mimi mshindi.Wake wapi bana mpaka apewe tuzo,huu uzi auna mwisho labda magufuri aje aukatishe kwa sasa na tuzo anipatie mimi