medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Udumishwe WAP wakati wasomi ndo wavurugaji wa elimu Tanzania .
Tanzania elimu yake yaitaji maombez mana shele zpo ila walimu hamna na wala vtab havtoshUdumishwe WAP wakati wasomi ndo wavurugaji wa elimu Tanzania .
Wote tupo mstari wa mbele kutetea maslahi ya watanzania woteTanzania yetu sote, ikizama tutaangamia wote
Umasikini ni janga kama majanga mengine na ugonjwa likija halichagui linatupata woteWote simameni tupambane na umaskini
Tukalime lami au bahari?Wote simameni tushike jembe tukalime
Sana mimi napenda kugegedanaBahari kubwa sana
Makini ndugu Ukhuty hujatuonesha, unajua jinsi ya kushiriki huu mchezo?WOTE tutakaopatwa na hilo janga yatubidi tuwe makini
Mchezo huu hauhitaji hasira ila ni ubunifuMakini ndugu Ukhuty hujatuonesha, unajua jinsi ya kushiriki huu mchezo?
Ubunifu katika sanaa ni muhimu hasa katika kutunga mistari yenye vinaMchezo huu hauhitaji hasira ila ni ubunifu
Vina humfanya msanii kutumia akili nyngi ktk kaz ya utungajiUbunifu katika sanaa ni muhimu hasa katika kutunga mistari yenye vina
Utungaji wa nyimbo za kisasa zinazungumzia mapenzi tu ndo ujumbeVina humfanya msanii kutumia akili nyngi ktk kaz ya utungaji
Ujumbe wenyewe kila mtu anasema katendwaUtungaji wa nyimbo za kisasa zinazungumzia mapenzi tu ndo ujumbe