fansureboy
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 271
- 320
Gani kivip angali hujaitaja movie yenyeweMovie hili neno lina asili ya nchi gani?
Gani kivip angali hujaitaja movie yenyeweMovie hili neno lina asili ya nchi gani?
Gani, Yenyewe maana ya MOVIE ina tafsiri hii:- A film, also called a movie, motion picture, theatrical film or photoplay, is a series of still images ... The contemporary definition of cinema is the art of simulating experiences to communicate ideas, stories, ..... the one who invented a new language, true to the nature of film, as it captures life as a reflection, life as a dream, movie Ni msamiati wa Kimarekani......Movie hili neno lina asili ya nchi gani?
Kimarekani ni kigumu kidogo kuliko kiingerezaGani, Yenyewe maana ya MOVIE ina tafsiri hii:- A film, also called a movie, motion picture, theatrical film or photoplay, is a series of still images ... The contemporary definition of cinema is the art of simulating experiences to communicate ideas, stories, ..... the one who invented a new language, true to the nature of film, as it captures life as a reflection, life as a dream, movie Ni msamiati wa Kimarekani......
Kiingereza ni lugha inayotumiwa kimataifa khususan katika usafiri, maHotelini na mikutanoni..Kimarekani ni kigumu kidogo kuliko kiingereza
Mikutanoni na shuleni ndo kabisa kila mwanafunzi lazima afundishwe somo la kiingereza na hisabatiKiingereza ni lugha inayotumiwa kimataifa khususan katika usafiri, maHotelini na mikutanoni..
Hisabati ndiyo somo gumu kwa watoto, Kuwasaidia inabidi kuongeza mwal. wa tuition kuwawezesha..Mikutanoni na shuleni ndo kabisa kila mwanafunzi lazima afundishwe somo la kiingereza na hisabati
Kuwawezesha watoto katika masomo yao na kuwafanyia wepesi katika mazingira yote ya shule ni kulijenga taifa la keshoHisabati ndiyo somo gumu kwa watoto, Kuwasaidia inabidi kuongeza mwal. wa tuition kuwawezesha..
Kuwawezesha kwa kutumia mwalimu wa tuition haitosh ila inabidi ununue na vitab vya kutosha pia nawe uwe unamsaidia kumfundishaHisabati ndiyo somo gumu kwa watoto, Kuwasaidia inabidi kuongeza mwal. wa tuition kuwawezesha..
Kesho haifiki taifa huanzia leoKuwawezesha watoto katika masomo yao na kuwafanyia wepesi katika mazingira yote ya shule ni kulijenga taifa la kesho
Leo mwalimu akiingia darasani atafundisha topic ya hesabu za kipeuo na kipeo cha piliKesho haifiki taifa huanzia leo
Pili atafundisha na namna ya kutumia four figuresLeo mwalimu akiingia darasani atafundisha topic ya hesabu za kipeuo na kipeo cha pili
Four figures ikiisha mwalimu kasema atatufundisha somo la maarifa ya jamii kitabu cha tatuPili atafundisha na namna ya kutumia four figures
Kitabu cha tatu alishafundisha ila kwa vle we ulikuwa mtoro ndo mana anarudiaFour figures ikiisha mwalimu kasema atatufundisha somo la maarifa ya jamii kitabu cha tatu
Anarudia rudia mwalimu kufundisha fundisha ili tupate kuelwa zaidi sababu tunatofautiana upeo darasaniKitabu cha tatu alishafundisha ila kwa vle we ulikuwa mtoro ndo mana anarudia
Wanafunzi wangu wanaushirikano kati yao.., hadi napata raha nikiwa shuleni....Darasani ni lazima kuwe na nidhamu baina ya Mwalimu na wanafunzi
Ukaguzi ni kinga ya kuweka nidhamu na heshima kwa wasomi......Kutishana Na ukaguzi