Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Faragha ya kufanya mapenzi hakuna labda kushikana mikono, kumpiga busu na kulia kwa pamoja kwa machungu kukumbuka mlipotoka na maisha magumu mnayopitia kwa sasa
Sasa najiuliza kwa nini maneno mengi ya lugha ya kiswahili hujirudia rudia...?
 
Mfano nakupa maneno "pilipil,pikipiki,Sasa,daladala,bodaboda,kuku nk nk... huu mwendelezo unanishangaza....
Unanishangaza na mimi hasa watu wanaposema kiswahili kimetokana na kiarabu wakati maneno hayo uliyoandika yanayojirudia ni "filfil, drajat naariya, al'an, sayyara, dajajah" mimi nakubaliana na kwamba kiswahili ni kibantu
 
Kibantu ni lafudhi, lahaja au masamiati ? hebu mwaga maelezo tujifunze zaidi...
 
Mwalim, Sasa wataka kunichekesha zaidi yaani kiswahi kina umri wa miaka 80... yaani kabla ya Nyerere palikuwa hakuna lugha ya mawasiliano?!!?
Mawasiliano yalikuwepo na lugha zipo nyingi tu Tanzania kila kabila wanaongea lugha zao na kingereza na kiarabu pia watu waliongea, juhudi za mwalim Nyerere ni kuifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa na sasa nchi jirani zote Afrika mashariki wanaongea kiswahili
 
Back
Top Bottom