Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Vilivyo ni kama kanuni ya kuwa usimcheke anayeanguka nawe lisije kukufika kama anguko lake
Lake ni kubwa sana katika historia hasa alipochukua tunzo ya mwanariadha bora, sasa cha ajabu mashindano ya riadha yapo kila mwaka lakini Tanzania tunajivunia tunzo ya miaka zaidi ya 30 iliyopita ni aibu
 
Aibu kuona sisi waTZ hatukuweka riadha na michezo kama kipaumbele cha mafanikio wengi tumejikita ktk starehe japo umri na rika zetu hazikubaliki.....
 
Aibu kwa nchi hii, chochote kizuri hakiendelezwi, si viwanda, elimu, michezo, afya wala demokrasia. Sielewi tu watu wa aina gani.
 
Hodari watapatikana kama tutatenga fedha za waalimu wao, za kujikimu kwao na vifaa vinavyohitajika katika kuwanoa kikamilifu.
 
Wanariadha hodari wanawekewa misingi mizuri tangu wakiwa wadogo, cha ajabu eti serikali mwaka huu ilifuta maandalizi ya michezo ya UMISETA na UMISHUMTA shuleni
Shuleni siku zile nikiwa chipukizi wa soka na high-jump nilipo chaguliwa kushiriki mashindano ya UMISETA nilihakikisha natimiza azma ya kunyakuwa ushindi popote pale.....
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Shuleni siku zile nikiwa chipukizi wa soka na high-jump nilipo chaguliwa kushiriki mashindano ya UMISETA nilihakikisha natimiza azma ya kunyakuwa ushindi popote pale.....
Pale unapochaguliwa kishule kuwakilisha wenzako kwa kipaji cha michezo wengi walikuwa wanachujwa kutoka shule mbalimbali ili kupata timu ya wilaya kuwakilisha timu ya mkoa hatimae mnarudi na kombe au medani ya dhahabu na fedha
 
Fedha hizi ndiyo zimeleta fedheha kwa umma, ukiwa na fedha utathaminwa uspokuwa nazo utapuuzwa !!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Utapuuzwa ndio maana kila mtu alipo anakwapua ili aonekane wa maana, na anayeiba anasifiwa mtaani.
 
Utapuuzwa kama hutathamini utu wako, waache wenye fedha waendelee kuwa na fedha zao kama ni halali ni haki yao lakini kama ni fedha za ufisadi basi Mh Magufuli atawatumbua majipu
Majipu uchungu hutembea mwilini na kujitokeza sehemu zingine bila kutambulika.....
 
Back
Top Bottom