T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,925
- 30,063
Wachache wachache waingie ndani tuwakagueUpewe haki ipi wakati wenye haki ni wachache
Wachache wachache waingie ndani tuwakagueUpewe haki ipi wakati wenye haki ni wachache
khaswaa mliponiacha ndipo nilipo simama ma kuamua nijitegemee...!!!Tuwakague ndani na nje,yaani kikamilifu haswaa!
Nijitegemee vipi wakati mie mdogokhaswaa mliponiacha ndipo nilipo simama ma kuamua nijitegemee...!!!
Mdogo ungekua macho muda huuNijitegemee vipi wakati mie mdogo
Huu ndo muda wa kukojoa nilale tenaMdogo ungekua macho muda huu
Tena mpaka sa ngapi?Huu ndo muda wa kukojoa nilale tena
Ngapi hilo ni swali au ni jibuTena mpaka sa ngapi?
Jibu la swali gani
Gani kwa lugha ya mtaani kwetu ni bundukiJibu la swali gani
Hatia maana yake ni kosaNazo huua watu hata wasio na hatia
Kosa la kuua mtu ni jela moja kwa mojaHatia maana yake ni kosa
Moja ya adhabu zake ni kunyongwa ama kifungo cha maishaKosa la kuua mtu ni jela moja kwa moja
Maisha ni haya haya usitamani mali au kitu cha mtu ambacho huna kikakupelekea ukafanya uhalifuMoja ya adhabu zake ni kunyongwa ama kifungo cha maisha
Uhalifu unamfanya mtu arudi nyuma kimaendeleoMaisha ni haya haya usitamani mali au kitu cha mtu ambacho huna kikakupelekea ukafanya uhalifu
Kimaendeleo watanzania bado tupo nyuma hasa kwenye teknolojiaUhalifu unamfanya mtu arudi nyuma kimaendeleo
Mbele ya kidamunasi mbunge aliondoa gari ya kwa mikwara na mbwembwe .....Teknolojia ya uchawi tupo mbele