Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mashindano ya riadha tulikuwa na bingwa wetu miaka mingi iliyopita anaitwa Filbert Bayi lakini kwa sasa majirani zetu Kenya kila mara wanachukua Tunzo
Tunzo alilopata Bingwa wetu F'bayi ilitikisa ulimwengu wa riadha enzi hizo, Lakini alipowasili uwanja wandege wa nyumbani watumishi wa ukaguzi walitoza ushuru !!!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz

Ushuru muhimu mkuu serikali haina pesa, hivi unajua nchi za wenzetu mtu anaendelea kulipwa hafanyi kazi nyingine zaidi ya riadha tu, sasa hapa bongo kama wewe ni mwanariadha halafu huna kibiashara cha kujipatia kipato unaweza kufa njaa
 
Njaa ni yake lakini tunzo ni la Taifa ?!! khaaah... Bingwa wetu alijikamua na kujituma kunyanyua juu bendera yetu hatimaye adaiwe kodi !!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom