supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Nyingi katika pesa zinatumika katika anasa na si maendeleoNyumbani kwenyewe kelele ni nyingi
Nyingi katika pesa zinatumika katika anasa na si maendeleoNyumbani kwenyewe kelele ni nyingi
Maendeleo si ya muda mfupiNyingi katika pesa zinatumika katika anasa na si maendeleo
Mfupi anaweza akavaa viatu virefu akawa mrefuMaendeleo si ya muda mfupi
Mrefu anaweza asifikie urefu wa twigaMfupi anaweza akavaa viatu virefu akawa mrefu
Mfupi au mrefu, mweupe au mweusi, mnene au mwembamba hatubaguani TanzaniaMaendeleo si ya muda mfupi
Tanzania ni mahali salamaMfupi au mrefu, mweupe au mweusi, mnene au mwembamba hatubaguani Tanzania
Salama usalmini unalala unamka na kuishi kwa amaniTanzania ni mahali salama
Kuichezea ni sawa na kuikataa amani kama unavyouchezea mpira uwanjani sababu unaweza kushinda au kushindwaAmani yenyewe kuna watu wanataka kuichezea
Kushindwa ndo kuipoteza kabisaKuichezea ni sawa na kuikataa amani kama unavyouchezea mpira uwanjani sababu unaweza kushinda au kushindwa
Kabisa mkuu sakayo umezungungumzia point na amani inaletwa na wananchi wenyewe wakishirikiana na polisiKushindwa ndo kuipoteza kabisa
Polisi hawahawa ndo wanaipoteza amani bila kujuaKabisa mkuu sakayo umezungungumzia point na amani inaletwa na wananchi wenyewe wakishirikiana na polisi
Kujua au kutojua katika kutoa rushwa ukikamatwa una hatia na mashtaka ya kujibu mahakamaniPolisi hawahawa ndo wanaipoteza amani bila kujua
Kujua kwingi ni sawa na kuchamba kwingi unabaki na kinyesi mkononi....misemo ya kiswahili bhanaaaaPolisi hawahawa ndo wanaipoteza amani bila kujua
Mahakani ukienda ndo ushahidi unatafutwa miaka nenda rudiKujua au kutojua katika kutoa rushwa ukikamatwa una hatia na mashtaka ya kujibu mahakamani
Rudi tena na tena utetee haki yako bila kuchoka sababu mahakama ndio chombo pekee cha kukitegemea kupata hakiMahakani ukienda ndo ushahidi unatafutwa miaka nenda rudi
Lalamika panapostahili sio kila kitu unalalamikia mpaka hatujui unataka haki gani upeweWote tungepewa haki sawa tusingelalamika
Upewe haki ipi wakati wenye haki ni wachacheLalamika panapostahili sio kila kitu unalalamikia mpaka hatujui unataka haki gani upewe