Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,738
- 11,644
Aina mbalimbali za mazao ya kula na biashara pia hupatikana TzTanzania ni nchi ilobobea neema na rasilimali za kila aina......
Aina mbalimbali za mazao ya kula na biashara pia hupatikana TzTanzania ni nchi ilobobea neema na rasilimali za kila aina......
Hakuna kwa kuwa watu hawana uhakika na wapi upepo unakwenda, usije kununua ukajikuta vinataifishwaArdhi sasa imepungua bei lakini cha ajabu wanunuzi wakununua mashamba na ardhi hakuna
TZ ilikuwa mwanzo wa number plate za magari enzi zile....Aina mbalimbali za mazao ya kula na biashara pia hupatikana Tz
Pia namba hizo zilitambulika kama ifuatavyo :- TB ni Tabora, MZ ni Mwanza, TG ni Tanga, AR ni Arusha na DS ni Dar es Salaam na mikoa mingine zilifuata hizo taratibu !!!!Zile enzi kulikuwa na namba maalum kwa mikoa yetu pia
Taratibu kabisaPia namba hizo zilitambulika kama ifuatavyo :- TB ni Tabora, MZ ni Mwanza, TG ni Tanga, AR ni Arusha na DS ni Dar es Salaam na mikoa mingine zilifuata hizo taratibu !!!!
Kadhalika tutawajazi kheri walotenda mema........Taratibu Bw ZZ, Tanga walikuwa na TA, na mwendelezo wake ukawa TAA, TAB ...TAQ na kadhalika.
Kadhalika wapi mpaka TAB ilikuwepoTaratibu Bw ZZ, Tanga walikuwa na TA, na mwendelezo wake ukawa TAA, TAB ...TAQ na kadhalika.
Kabisa palichimbika baada ya jeshi la FFU kutawanya umati .....Taratibu kabisa
Ilikuwepo rabsharabsha za wahuni katika mkutano wa chama....Kadhalika wapi mpaka TAB ilikuwepo
Chama gani CHAPUTAIlikuwepo rabsharabsha za wahuni katika mkutano wa chama....
CHAPUTA sio chama sababu hakijasajiliwa kisheria na msajiliChama gani CHAPUTA
Vile vyama vyote vipo chini ya usimamizi wake Jaji Mutungi ndo anatambulikaMsajili wa vyama anaitwa nani vilee
Anatambulika kwa sababu anaweza kufuta chama muda wowoteVile vyama vyote vipo chini ya usimamizi wake Jaji Mutungi ndo anatambulika
Wowote ambao wanakiuka maadili na sheria za chama lazima wachukuliwe hatuaAnatambulika kwa sababu anaweza kufuta chama muda wowote
Hatua isibaki katika mkono wa muamuzi mmoja tu, iwepo bodi maalum ya kisheria.....Wowote ambao wanakiuka maadili na sheria za chama lazima wachukuliwe hatua