Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Stejini husimama mabaunsa kulinda nini ikiwa msanii anawaburudisha wahudhuria waliyo mufuata.....Utandawazi umekuwa kwa mapana duniani kote na hata hapa kwetu Tanzania, imefikia hatua ukienda kwenye kumbi za music hupati live ladha ya nyimbo na vyombo vyake stejini