Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kitu kikubwa cha kuzingatia ni kwa hawa viongozi wetu kuboresha mikoa yote na sio Dar na dodoma tu sababu ukizungumzia utalii wa mbuga za wanyama, milima, kilimo na ufugaji ni huko mikoani na si hapa Dar
Dar jamani.., Dar ilobarikiwa.., Dar yenye hadhi pekee.., Dar ndiyo dili zote.., Dar yenye mipango.., Dar ndiyo mkombozi.., Dar ilobobea lifu.., Dar ndiyo habu ya kuunganisha.., Dar haiwezi kufa.., Dar Never die.., nsije kutumbuliwa bila kuwa na jipu !!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz

Jipu huna huwezi kutumbuliwa na mtu sababu Tanzania inajengwa na sisi bila watu na viongozi basi hakuna Tanzania na wala isingefikia hapa, nilishangaa mkoa wa Rukwa hata mwaka mmoja hawajawahi kupelekewa tamasha la Fiesta
 
Fiesta ndiyo hutoaga ushamba.., hebu nami nijuze hilo tamasha huwaga na burudani zipi na faraja kwa walengwa !!???
 
Walengwa ni watu na mashabiki wa wasanii, unajua unaweza kukubali kazi za msanii kama Baraka da Prince lakini hujawahi kumuona hivyo ni mashabiki ni burudani na rahisi kuwaona wasanii
Wasanii wa wetu ni hawa wa vizazi vipya tu ? Jee, hatuna wasanii wa watu wazima na wa kongwe hapa katika mstari wa burudani...?
 
Back
Top Bottom