Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mchuzi mzito wa smaki wa kupaka unapatikanaje hapo jijini....?Pakavu pataliwa na mchuzi
Mchuzi mzito wa smaki wa kupaka unapatikanaje hapo jijini....?Pakavu pataliwa na mchuzi
Jijini hapa ni takriban Tshs 10,000 ni samaki mkubwa jana nimekula pembeni ya landmark hotel ambayo ni hostel ya wanafunzi wa chuo ubungoMchuzi mzito wa smaki wa kupaka unapatikanaje hapo jijini....?
Ubungo kuna wakazi wengi wa kipato cha kati kuliko kigamboni.....Jijini hapa ni takriban Tshs 10,000 ni samaki mkubwa jana nimekula pembeni ya landmark hotel ambayo ni hostel ya wanafunzi wa chuo ubungo
Kigamboni ni sehemu safi sana pa kuishi sema kuna wezi na vibaka wengi ambao wanaiba kwa kupora na kuchana nyavu za madirishaUbungo kuna wakazi wengi wa kipato cha kati kuliko kigamboni.....
Madirisha huleta pambo zuri na kuingiza hewa safi ktk nyumba yapaswa kujengea uzio wa nondo !!Kigamboni ni sehemu safi sana pa kuishi sema kuna wezi na vibaka wengi ambao wanaiba kwa kupora na kuchana nyavu za madirisha
Nondo zipo na nyavu pia zipo ila si unajua wezi wanataaluma zao katika kuiba hasa temekeMadirisha huleta pambo zuri na kuingiza hewa safi ktk nyumba yapaswa kujengea uzio wa nondo !!
Temeke wanajiuza sana akina dadaNondo zipo na nyavu pia zipo ila si unajua wezi wanataaluma zao katika kuiba hasa temeke
Dada zetu pamoja na kudhibitiwa katika kushiriki biashara haramu ya kujiuza lakini bado wamekiuka sheria na kuendelea na tabia hii hasa kinondoniTemeke wanajiuza sana akina dada
Wake na waume, mabibi na mabwana, wadogo na wakubwa nawaamkia shkamooniSana sana kwa barabara za Tz na ubovu wake
Marhabaa Bw Supermarket, natumaini umeamka salama. Sasa jinsi ulivyoishia unataka nao wakuamkie

Wakuamkie mapema asubuhi muende kazini kujishughulisha na maedeleo ya kuijenga TanzaniaMarhabaa Bw Supermarket, natumaini umeamka salama. Sasa jinsi ulivyoishia unataka nao wakuamkie
Tanzania ni nchi ilobobea neema na rasilimali za kila aina......Wakuamkie mapema asubuhi muende kazini kujishughulisha na maedeleo ya kuijenga Tanzania
Ardhi sasa imepungua bei lakini cha ajabu wanunuzi wakununua mashamba na ardhi hakunaTz ilishajengwa sana wakaja wajanja wakauziana viwanda, nyumba na ardhi.