Dah hizi dahili za chuo ni msongamano maana hata nafasi ni chache....Ujao utakuwa unaumiza sana, maana hii mitihani, dah
Jumapili hii ina historiya ya ajabu, Nakumbuka ati tuliwahi pigwa marufuku tusiendeshe magari mchana wa siku ya jumapili ili tusitumie petroli/diseli enzi zile !!Chache kati ya nyingi nazozifahamu ni kuwa leo ni Jumapili
Media ya kulazimishana ndiyo hupoteza misingi ya demokrasia na kusababisha wasomi kutochangia kikamilifu !!!Zile wiraza tatu zimetoa matamko kwa mpigo kutokana na influence media
Wao ndiyo walilo linukisha na kusambaza uongo bila kujua matokeo !!!Kikamilifu wasipochangia jamii haitaona umuhimu wao na usomi wao
Mchezo wa kuburuzana ulikuwepo enzi zote, sema sasa umeshtukiwa... !!!Matokeo!!! Ya kidato cha sita ya mwaka huu inasikitisha si mchezo
Wababaishaji na wapindishaji sheria wamejaa katika idara za serikali hadi wanaleta kichefuchefu kwa raia wenye kufuatilia miamala yao, Zaidi wahuni hao huanza kazi asubuhi saa nne badala ya saa moja na nusu.....Umeshtukiwa na unawatesa wapenda njia za mkato na wababaishaji.
Kesho ndiyo khaswa jibu lao, wakati yeye analipwa mwezi mzima bila kupunguziwa.....Nusu siku kwao ni siku nzima, umwendee una tatizo, jibu njoo kesho
Kupunguziwa kwa gharama za kununua papuchi mpaka uwe na hasira.Kesho ndiyo khaswa jibu lao, wakati yeye analipwa mwezi mzima bila kupunguziwa.....