Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

ulingoni hakuna mchanga hapo mtanshinda maana tekniki yangu ni kukumwagia mchanga machoni halafu nakupa kipondo kama cha Jon Cena you cant see me.
 
Ubingwa wataka ufanyiwe mazoezi na nia ya dhati iwepo ili upatikane.
Upatikane unafuu kwa historia nzuri na safi sio tu unasema unataka ubingwa halafu hiyo imani ya kushinda huna sababu unakata tamaa mapema
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom