Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ukawa nao wana hoja zao za msingi ni vyema serikali ikawasikiliza na kufanyia kazi ili kwa pamoja kufikia Tanzania ya viwanda
Viwanda vinahitajika barani Afrika kote, Tushirikiane wate bila kutumia jazba, hulka na tabia ya kutimuana na kukana rai na fikra za mwengine, kwani ni kupoteza wakati na mwelekeo wa kujenga taifa la viwanda !!!!
 
Back
Top Bottom