supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Yanga wapo vizuri sema mwaka huu tunawasiwasi na simbaNalo goli la asernal jana ni kama la yanga
Yanga wapo vizuri sema mwaka huu tunawasiwasi na simbaNalo goli la asernal jana ni kama la yanga
Naye alipobanwa akachafuwa hewa kwa kumtaja aliyeghushi na kupokea rushwa...!!Simba anauweza ubabe wa nyegere akikutana naye?
Rushwa ni adui wa haki na ikifikia refa anakubali kuipokea basi hata mchezo utakosa ladhaNaye alipobanwa akachafuwa hewa kwa kumtaja aliyeghushi na kupokea rushwa...!!
Ladha ya utazamaji wa mechi ni ni kusimama.....Rushwa ni adui wa haki na ikifikia refa anakubali kuipokea basi hata mchezo utakosa ladha
Kusimama imara katika kupigania haki yako ni jambo la msingiLadha ya utazamaji wa mechi ni ni kusimama.....
Msingi uliyopo umeregea kwa kuzidiwa !! mfano tope kujaa maji hapawezikani.....Kusimama imara katika kupigania haki yako ni jambo la msingi
Msingi mkubwa wa bandiko hili ni kumpata wa mwisho awe mshindi, ila hatapatikana mshindi mpaka mwisho wa dahari.Kusimama imara katika kupigania haki yako ni jambo la msingi
Dahari ni mbali sana, huwezi amini nipo katika harakati za kuuchukua ushindiMsingi mkubwa wa bandiko hili ni kumpata wa mwisho awe mshindi, ila hatapatikana mshindi mpaka mwisho wa dahari.
Ushindi kuupata mpaka uwe wa mwisho, yawezekana nikashinda piaDahari ni mbali sana, huwezi amini nipo katika harakati za kuuchukua ushindi
Pia unaweza kushinda inategemea umejipanga vipiUshindi kuupata mpaka uwe wa mwisho, yawezekana nikashinda pia
Mwisho ndio hapa!!Asipopatikana mchezo utakuwa haujafika mwisho
Hitimisho bado halitapatikana mpaka mwisho wa ulimwenguHapa bado kabisa kufikia hitimisho
Hitimisho la huu mchezo bado ni mgumu sababu kila mtu anataka kushindaHapa bado kabisa kufikia hitimisho