supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Uzushi vipi au mmeshaanza kuogopa kupigwa fainiViti wanavyosema vineng'olewa ni uzushi
Uzushi vipi au mmeshaanza kuogopa kupigwa fainiViti wanavyosema vineng'olewa ni uzushi
Faini isipolipwa kifungo kitahusika bila ajizi...Uzushi vipi au mmeshaanza kuogopa kupigwa faini
Ajizi hakuna milioni mbili lazima walipe wanataka wasitakeFaini isipolipwa kifungo kitahusika bila ajizi...
wasitake kula bure lazima wachangie gharama !!!Ajizi hakuna milioni mbili lazima walipe wanataka wasitake
Gharama itakuwa kubwa sana yani ni bora pesa wangezitumia kumuhonga refa ili wapate ushindiwasitake kula bure lazima wachangie gharama !!!
Mjini ni sehemu ya mkusanyiko ktk miundombinu ya kuhodhi biashara,makazi na viwandaSholinisoka mchezo wa kizamani..hapa mautundu ndo habari ya mujini.
Viwanda ni moja ya ahadi ya Mh rais MagufuliMjini ni sehemu ya mkusanyiko ktk miundombinu ya kuhodhi biashara,makazi na viwanda
Boy kama mtoto mie msiniingize ktk matatizo ya uchochezi bora nijikalie chemba..!Magufuli kanunua bajaji zenye pangaboi
Chemba tukae wote mkuu tuzungumzie sportsBoy kama mtoto mie msiniingize ktk matatizo ya uchochezi bora nijikalie chemba..!
Sports imeingiliwa na kamari na hiyana na biashara !! Sasa hata utaamu na quality yake haipatikani.. enzi zetu sports ilikuwa moyoni na viungoni bila kujali masilahi binafsi !!!!Chemba tukae wote mkuu tuzungumzie sports
Binafsi nazungumzia mpira wa kibongo unahitaji mabadiliko makubwa mpaka tufikie level za kimataifaSports imeingiliwa na kamari na hiyana na biashara !! Sasa hata utaamu na quality yake haipatikani.. enzi zetu sports ilikuwa moyoni na viungoni bila kujali masilahi binafsi !!!!
Kimataifa tusahau na wala tusiote hata ndoto za mchana.... chukuwa kwangu na uamini haya nina watabiria nchi za jirani kadhaa kushiriki kombe la dunia na CAF karibuni, wakati siye tutabaki kushangilia......Binafsi nazungumzia mpira wa kibongo unahitaji mabadiliko makubwa mpaka tufikie level za kimataifa
Kushangilia tumeanza kuchoka na kuona bora kushabikia timu za ulayaKimataifa tusahau na wala tusiote hata ndoto za mchana.... chukuwa kwangu na uamini haya nina watabiria nchi za jirani kadhaa kushiriki kombe la dunia na CAF karibuni, wakati siye tutabaki kushangilia......
Ulaya ndivyo wanataka siye tuelekeze nguvu na mawazo yetu huko kwao ili tuwe wateja wa kudumu na wa kupelekeshwa...!!!Kushangilia tumeanza kuchoka na kuona bora kushabikia timu za ulaya
Kupelekeshwa hakuna budi sababu wenzetu wameendelea sana wako mbali kwenye michezoUlaya ndivyo wanataka siye tuelekeze nguvu na mawazo yetu huko kwao ili tuwe wateja wa kudumu na wa kupelekeshwa...!!!
Michezo vipi tushindwe kwani siye vilema hivyo bhana.??Kupelekeshwa hakuna budi sababu wenzetu wameendelea sana wako mbali kwenye michezo