supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Bhana Tanzania umekuwa kama huijui wakati kila kitu ni dili yani inawezekana kabisa pesa za michezo kutafunwa na watu wachacheMichezo vipi tushindwe kwani siye vilema hivyo bhana.??
Bhana Tanzania umekuwa kama huijui wakati kila kitu ni dili yani inawezekana kabisa pesa za michezo kutafunwa na watu wachacheMichezo vipi tushindwe kwani siye vilema hivyo bhana.??
Wachache ndiyo wenye matumbo eeeh? na wengi hawana matumbo?Bhana Tanzania umekuwa kama huijui wakati kila kitu ni dili yani inawezekana kabisa pesa za michezo kutafunwa na watu wachache
Matumbo wakiyaendekeza basi hakuna maendeleo sababu vipaji vipo lakini vinakufa mtaani hakuna wakuwapa sapoti kutimiza ndotoWachache ndiyo wenye matumbo eeeh? na wengi hawana matumbo?
Ndoto za walaji ni kuingia madarakani ili kujinufaisha....Matumbo wakiyaendekeza basi hakuna maendeleo sababu vipaji vipo lakini vinakufa mtaani hakuna wakuwapa sapoti kutimiza ndoto
Kujinufaisha kwa watu binafsi au kikundi cha watu kitaisha kama sheria na kanuni zitafuatwa na kufanyiwa kaziNdoto za walaji ni kuingia madarakani ili kujinufaisha....
Pesa ikiwepo utanunua sheria na mwanasheria....Kazi ipo kwa wasimamia hizo sheria na kanuni kwani hawana ujasiri mbele ya nguvu ya pesa
Pesa bado hazitoshi zinazotolewa kwenye udhamini wa mpira na hata mshahara wanaolipwa wachezaji ni mdogoKazi ipo kwa wasimamia hizo sheria na kanuni kwani hawana ujasiri mbele ya nguvu ya pesa
Mdogo mdogo ndiyo mwendo, tukiwazoesha pesa hao hawatacheza kwa moyo, itakuwa kila wakati kunyoosha mkono !!Pesa bado hazitoshi zinazotolewa kwenye udhamini wa mpira na hata mshahara wanaolipwa wachezaji ni mdogo
Mkono mtupu haulambwi mkuu endapo mpira ungekuwa unalipa kama bongofleva ukipiga show moja huwezi amini vijana wengi wangejiingiza katika mpiraMdogo mdogo ndiyo mwendo, tukiwazoesha pesa hao hawatacheza kwa moyo, itakuwa kila wakati kunyoosha mkono !!
mpira ni mchezo wakifukara na huwaliwaza masikini.....Mkono mtupu haulambwi mkuu endapo mpira ungekuwa unalipa kama bongofleva ukipiga show moja huwezi amini vijana wengi wangejiingiza katika mpira
Makusudi kali yao ilitokea hayo ni heri kuliko kupoteza nafsi .., maana kwingine nchi za watu hutokea maafa zaidi ya hayo !! Hilo nalo liwe fundisho kwa matokeo ya mustakabali..!!masikini nae anasema siwezi kulizwa hivi hivi lazma chenji irudi, anavunja viti uwanja wa taifa makusudikali
Cha ndimu ni mfumo wa kizamani, tunahitaji mpira wa kisasa tuweze kufikisha soka letu kimataifavizuri tuna aleji navyo vibaya ndio hadhi yetu mwisho wa siku soka litarudi mchangani na mpira watachezea cha ndimu.
makirikiri limekuwa gumu kuanza naloKimataifa tutasubiri sana Mpira wenyewe ndio ule kama makirikiri