Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kasoro robo ya kilo moja huwezi kuuziwa sukari kwa bei elekezi....!!Kamili au kasorobo?
Kasoro robo ya kilo moja huwezi kuuziwa sukari kwa bei elekezi....!!Kamili au kasorobo?
Kasoro za katiba ya nchi zisizoreteshe maendeleo...Elekezi ya bei ya sukari mpk sasa ina kasoro
Maendeleo ya wananchi hayaletwi na serikali peke yakeKasoro za katiba ya nchi zisizoreteshe maendeleo...
Yake ilipofika bandarini alishindwa kuigomboa...Maendeleo ya wananchi hayaletwi na serikali peke yake
Kuigomboa sio vibaya tatizo sio yakeYake ilipofika bandarini alishindwa kuigomboa...
Yake ni tamu ndo maana ananipa kila sikuKuigomboa sio vibaya tatizo sio yake
Iliyopita haiwezi kirudi usiku huu ni muda wa kulalaHaijarudi Posta Ile basi iliyopita
Tusipasuke vipi wakati kila sherehe tupo tunafuata pilauTunavimba hala hala tusipasuke
Mwananchi una majukumu pia, sio kukaa kitako ukilalamika, janga likitndeka kwetu Kenya sisi huwa tunalichangamkia kabla ya serikali maana kawaida huwa kuna urasimu pale. Hivi hili shindano la mwisho ndo mshindi bado lipo, nilikuja humu nikakimbizana na wadau hadi nikatoweka mwenyewe, jameni mnajaza server ya watu......
Hahahahahaha hebu nione kama mtaendeleza hii, mimi ni pumbavu
Sana sana pulau lenyewe liwe la sherehePilau, kachumbari na ndizi-tunda ni mlo niupendao sana
Sherehe yangu ya ushindi inaanza leoSana sana pulau lenyewe liwe la sherehe
Leo ndo namaliza ubish wote wa kuwa mm ndo mshindiSherehe yangu ya ushindi inaanza leo
Mshindi wa huu uzi ni mimiLeo ndo namaliza ubish wote wa kuwa mm ndo mshindi
Mimi kwa hakka sina mpinzani. Bisha uoneMshindi wa huu uzi ni mimi