supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Uone nini usawa huu wakati wewe huwezi kuwa mimiMimi kwa hakka sina mpinzani. Bisha uone
Uone nini usawa huu wakati wewe huwezi kuwa mimiMimi kwa hakka sina mpinzani. Bisha uone
mimi ndo mshindiUone nini usawa huu wakati wewe huwezi kuwa mimi
mimi ndo mshindiUone nini usawa huu wakati wewe huwezi kuwa mimi
Mshindi gani huna tunzo hata ya Mtvmimi ndo mshindi
MTV ilibobea miziki wakafikwa na hasara kubwa hadi kukubali sasa waibinafsishe....Mshindi gani huna tunzo hata ya Mtv
Faida ya mziki ni mpaka upate kikiWaibinafsishe tu miziki haina faida
Ukizubaa unaibiwa kweli sababu siku hizi bodaboda wamekuwa waporaji mitaaniWatakuibia ukizubaa
Mitaani hakuna usalama tena maana uadilifu na amani kwisha toweka !!!!Ukizubaa unaibiwa kweli sababu siku hizi bodaboda wamekuwa waporaji mitaani
Toweka ya wezi ni kwenye maskani zao za kuvuta bangiMitaani hakuna usalama tena maana uadilifu na amani kwisha toweka !!!!
Bhangi ni zao lenye ncha mbili... moja hutumika maabara na lingine hutumika kama uvutaji wa kujitoa ufahamu..!!Toweka ya wezi ni kwenye maskani zao za kuvuta bangi
Ufahamu wa vijana wetu umejikita katika kupata pesa kwa njia yoyote wapo tayari hata kufanya uhalifuBhangi ni zao lenye ncha mbili... moja hutumika maabara na lingine hutumika kama uvutaji wa kujitoa ufahamu..!!
Uhalifu umekithiri sana na mwisho wake huishia gerezani !!!Ufahamu wa vijana wetu umejikita katika kupata pesa kwa njia yoyote wapo tayari hata kufanya uhalifu
Gerezani wengi ni vijana ambao wameathirika na bangi, madawa ya kulevya na ujambaziUhalifu umekithiri sana na mwisho wake huishia gerezani !!!
ujambazi ni janga la taifaGerezani wengi ni vijana ambao wameathirika na bangi, madawa ya kulevya na ujambazi
Taifa linahitaji ushirikiano kati ya wananchi na jeshi la polisi kupambana na vita hiiujambazi ni janga la taifa
Taifa lina aina kadha za uhalifu moja ni ujambazi wa kutumia silaha na mwengine ni ujambazi wa kutumia madaraka na ujambazi wa alasiri hii kughushi nyaraka!!!ujambazi ni janga la taifa