Karibu chaiJuu kwa watoto wa kike, hata wa kiume wanahitaji uangalizi wa karibu.
Tu ndu la ndege kuna mayai manne madogo....Hawataufuta utaendelea kubaki tu
MwenyeEnzi Mungu husamehe,husubiri,huvumilia,hutoa muhula,nk nk... ila kibano chake hakikwepeki !!Madogo wa siku hizi wanapenda sana 0719 sijui hawaelew kwamba ni wanamchukiza mwenyez mungu..
Hakikwepek kwa wenye kumuhasi bila kutubuMwenyeEnzi Mungu husamehe,husubiri,huvumilia,hutoa muhula,nk nk... ila kibano chake hakikwepeki !!
Kutubu makosa na kutorudia makosa ni kufutiwa mashitaka mahakamani...Hakikwepek kwa wenye kumuhasi bila kutubu
Sheria inataka nguli kama TL hababaishwi wala hapindishiwi kirahisi.....mahakamani mwachie lisu tu kwa Ye ndie aliyepazoea, anakopa hadi sheria
Simba jike ndiyo hupanga mawindoYanga watafungwa tu na simba
Jike la kundi la wapiganaji wa kurdistan ndo linaongoza mstari wa mbele ktk mapambano !!!Mawindo Bora hufanywa na simba jike