Siku ya jumapili ni mapumziko ...Maisha ni harakati za kila siku
Kutafutana kwa mipasho ndiyo sera za wanaSiasa !!!maishi ni kutafuta na si kutafutana
Walaghai kwa kuwa Siasa ni mchezo mchafu....wanasiasa ni walaghai
Mama ntilie husumbuliwa na manispa pmoja na mgambo wa jiji.....mchafu kuoga hupendwa na kina mama
Jiji linapaswa kuwa safiMama ntilie husumbuliwa na manispa pmoja na mgambo wa jiji.....
Safisha mazingira yako kila jumamosi ya mwisho wa mwezi....Jiji linapaswa kuwa safi
Mwisho wa mwezi ndo huu mishahara ishatoka?Safisha mazingira yako kila jumamosi ya mwisho wa mwezi....
ishatoka gazeti la warembo toleo la tisa leo alfajiri... fanya ukanunue nakala !!Mwisho wa mwezi ndo huu mishahara ishatoka?
Nakala la hilo gazeti siwezi kununuaishatoka gazeti la warembo toleo la tisa leo alfajiri... fanya ukanunue nakala !!
kununua lazima naenda nyumbaniNakala la hilo gazeti siwezi kununua
Kununua na kuuza ni mfumo wa kibiashara... hapo hisabati itahusika...!!Nakala la hilo gazeti siwezi kununua
Nyumbani kuzuri kwaajili ya kupumzika baada ya mizunguko ya siku nzimakununua lazima naenda nyumbani
Nyumbani ni maskani au makazi, yategemea upo katika maeneo gani na wakati upi !!kununua lazima naenda nyumbani
Wakati upi kwa lipi?Nyumbani ni maskani au makazi, yategemea upo katika maeneo gani na wakati upi !!
lipi ulionalo muwafaka kulipa baada ya kula au kabla ?Wakati upi kwa lipi?
Kabla ntajiandaa kwaajili ya kupata mlo kamililipi ulionalo muwafaka kulipa baada ya kula au kabla ?
Kamili au kasorobo?Kabla ntajiandaa kwaajili ya kupata mlo kamili