SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Mchezo mkafanye ukawa hapa ni maendeleo tu
Tu taukuta mwaka ujao
Ghana ni nchi ya pili kuongoza ktk rasilimali za dhahabu ktk bara la Africa baada ya Sauzi !!!yemen siendi ni bora niende ghana
Sauzi kwa tata MadibaGhana ni nchi ya pili kuongoza ktk rasilimali za dhahabu ktk bara la Africa baada ya Sauzi !!!
Madiba ni neno la kizulu au kibantu...!!?Sauzi kwa tata Madiba
Sahara ni uwanja wa zamani sana pale mwanza kabla ya uwanja wa nyamagana na CCM kirumba !!!kibantu ni mkusanyiko wa lugha nyingi sana za waafrika waishio kusini mwa jangwa la sahara
Julma ya maneno ni mukhtasari wa maelezo......Kilumba kuna maduka ya jumlajumla..
Na ujue idadi hiyo ya wakazi nchini hupanda na kushuka kila dakika.....Jumla ya watanzania wote ni 4562760na......
dakika moja mtoto anazaliwa na dakika hiyo hiyo mtoto mwingine anafarikiNa ujue idadi hiyo ya wakazi nchini hupanda na kushuka kila dakika.....
Moja ya tatizo kubwa la waTZ ni kulalama !!! wakati Mungu katupendelea sana katika ardhi/hali ya hewa/lugha moja/amani kote na mitandao ya kimawasiliano hapa !!!Dakika 60 ni sawa na saa moja.
Mwenyeezi Mungu ndiyo mwenye kurithi vilivyomo humu.. hivo anatufisha na kutuumba atakavyo !!!Anafariki??ni kwa uzembe au mipango ya mungu?.