Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Pangaboi isikushughulishe mkuu, wewe weka imani kuwa bingwa atafanikisha malengo !!Kupaa kwa ndege kunahusiana nini sasa na hawa watu wanaosema anko jpm ameleta pangaboi.
Pangaboi isikushughulishe mkuu, wewe weka imani kuwa bingwa atafanikisha malengo !!Kupaa kwa ndege kunahusiana nini sasa na hawa watu wanaosema anko jpm ameleta pangaboi.
Hasa pale kwenye umakini na kufunguwa maudhui wa kujadililana....Haiwezi yoyote kumpitaZamiluni Zamiluni,yeye ni great thinker na Mwendo Kasi hasa
Thread hii ina wasaa wa kupokea washindi wengi ila kuwa wa mwisho sidhaani atapatikana....Malengo yangu makubwa ni kuwa mshindi kwenye hii thread..
Thread hii inawenyewe akina ZamiluniMalengo yangu makubwa ni kuwa mshindi kwenye hii thread..
Zamiluni Zamiluni ni wa kumsikia tu... Almanusra ukionana nae usijepatwa kama jua la majuzi !!Thread hii inawenyewe akina Zamiluni
Nimesahau kumeza dawa
Zangu zile zilipendwa japo thamni imeshuka lakini najipatia riziki !!!Dawa usisahau kumeza mkuu, ila daa umenikumbusha ngoja nami nikameze dawa zangu
Neema iliyopo Tanzania ni upendeleo wa muumba tu.., na siyo kwa ujanja wetu au uzuri wetu ni kudra!!Riziki huja kwa watu wema kama ilivyo neema