Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kuingi ni sahala sana ila kutoka ndiyo utacheza ngoma za kikwenu hautotoka ng'o !!Hapa jf nilikuwa napasikia tu ila sasa namimi nimefanikiwa kuingia...
Kuingi ni sahala sana ila kutoka ndiyo utacheza ngoma za kikwenu hautotoka ng'o !!Hapa jf nilikuwa napasikia tu ila sasa namimi nimefanikiwa kuingia...
Mooo Mooo ndiyo ilikuwa lugha ya zamani kabla ya kiswahili kuzaliwa.....Anzia na mooo![]()
![]()
![]()
![]()
Kiuchumi MO Dewji anakubalika barani Afrika maana kaweza kwenda na wakati na hali halisi...Mo dewji anakaba kila sekta kiuchumi..
Wangu unatumia typewriter kwrnye kuchapaMo dewji anakaba kila sekta kiuchumi..

Kwa sasa naona tumeishiwa maneno kuntu... hivyo hebu tuchimbue msamiati na lafudhi za kisasa!!Halisi ni moja ya sabuni zake za mfuko anazotengeneza na zinauzika sana kwasasa..
Maujuzi tu.Wangu unatumia typewriter kwrnye kuchapa![]()
![]()
![]()
Pangaboi ni feni inayozungushwa kwa nguvu ya air-engine huisukuma ndege ili iweze kupaa !!Kisasa kisasaaaa,,kuna maneno yananishangaza kidogo,,au kwavile nimgeni mjini,,,mfano nasikiasikia maneno kama pangaboi,pangaboi..
Hawezi kula na kipofu kwa kuwa anapapara na vurugu !!!Kupaa kama tai kunguru hawezi