SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Safarini kwea pangaboi walilolikataa wavaa ndala
ndala zake zilikatika katika maandamano !!Safarini kwea pangaboi walilolikataa wavaa ndala
mchuzi wa chupuchupu ndiyo wenye Ladha!!Pangu pakavu tia mchuzi
Ladha ya samaki mkavu tamu sana hasa ukiila ukiwa na nguvu za ziada.mchuzi wa chupuchupu ndiyo wenye Ladha!!
Ziada ipi hiyo ya kulia samaki?Ladha ya samaki mkavu tamu sana hasa ukiila ukiwa na nguvu za ziada.
Samaki ni mboga makini sanaZiada ipi hiyo ya kulia samaki?
Sanasana awe wa maji baridiSamaki ni mboga makini sana
Sweta ukilivua kwenye baridi unatafuta balaaBaridi likizidi vua sweta
kujitengeneza lazima kuwemo ndani ya katiba ya nchi inayoheshimika kwa watu woteBalaa nani kasema , Wakati dawa ya moto ni moto
Wote wapo makini ila wewe umekosea kupangilia mchezokujitengeneza lazima kuwemo ndani ya katiba ya nchi inayoheshimika kwa watu wote