ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Tabu na raha zote ni sehemu za maisha...Lugha ya pamoja ni tabasaamu 😀 !! ukishelewa mantik yake haitokupa tabu !!!
Tabu na raha zote ni sehemu za maisha...Lugha ya pamoja ni tabasaamu 😀 !! ukishelewa mantik yake haitokupa tabu !!!
Magumu ukichelewa kuezeka msingi wa nyumba bila kufunga nondo pembezoni....Maisha yenyewe mafupi na magumu
Bata mzinga ni ndege wenye kuzaliana kwa wingi na soko lao kubwa ni huko ng'ambo !!Pembezoni mwa bahari ndo sehemu nzuri ya kula bata
Ng'ambo magufuli kakataza viongozi kwenda
Kwenda lazima twende Ila kurudi ndio mushkel
Mushkel ni pale swala la kuongea kingereza linapokuja
Madhala au Madhara? Maana mzee Kifimbocheza anaweza kutembeza bakora.Sana ikizidi huwa inapelekea kupata madhala
Madhala au Madhara? Maana mzee Kifimbocheza anaweza kutembeza bakora.
Umasikini utaisha lini katika nchi za Kiafrika?Tena watanzania tukiamua kujituma hakika tutaondokana na umasikini
Sana ni neno linaloonyesha ubora fulaniHimili Kama usemavyo afya NI kitu cha kushukuru sana
Jina la baba na la babu ndiyo hutambulika kati ya majina matatu kwenye pasipoti !!!!Fulani Fulani ,ni nani huyo asiye na jina.
Fulani Fulani ,ni nani huyo asiye na jina.