mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Jina la baba na la babu ndiyo hutambulika kati ya majina matatu kwenye pasipoti !!!!
Pasipoti NI lazima uwe nayo Kama msafiri wa nchi za nje
Jina la baba na la babu ndiyo hutambulika kati ya majina matatu kwenye pasipoti !!!!
Nje kuna neema zenye kheri ukiwa mchapa kazi hata mafanikio ni ya haraka kupatikana!!Pasipoti NI lazima uwe nayo Kama msafiri wa nchi za nje
Nje kuna neema zenye kheri ukiwa mchapa kazi hata mafanikio ni ya haraka kupatikana!!
Utatoka panapo wasaa.. ila majukumu ya kikubana utazunguka hapo bila faraja !!!Kupatikana mafanikio NI juhudi,afya Na maarifa
Ukiwa sehemu yeyeto utatoka
Utatoka panapo wasaa.. ila majukumu ya kikubana utazunguka hapo bila faraja !!!
Kuigiza ndiyo mtindo wao kizazi kipya bila kujali matokeo !!!Faraja ZZ ni kushukuru ulicho nacho maana wengi wetu tuna penda kuishi maisha ya kuigiza
Kuigiza ndiyo mtindo wao kizazi kipya bila kujali matokeo !!!
Faida ni faidika kwa juhudi na ushujaa wako, hapo ndiyo ladha ya utamu hupatikana !!!Matokeo ya kazi nzuri NI faida
Faida ni faidika kwa juhudi na ushujaa wako, hapo ndiyo ladha ya utamu hupatikana !!!
Msingi wa tabia hujenga na mwenye kuidhamiriaHupatikana raha Ktk maisha Kwa kuishi mkweli,furaha Na bila ya kuwakwaza Watu bila ya sababu za msingi
Kuidhamiria shari ni kuwakera majirani na kugonganisha wapendanao...!!Msingi wa tabia hujenga na mwenye kuidhamiria
Sasa mtu kukosea spelling ashakuwa hajui, basi humu JF wengi tusingelewana kimaandishi !
Sana mie kaburu najifunza lugha yenu muruwa.., Raimundo changia msamiati tuboreshe....We jamaa kila nikicheki huu uzi lazima nikukute aisee, safi sana.
Sana mie kaburu najifunza lugha yenu muruwa.., Raimundo changia msamiati tuboreshe....
Thread hii inahitaji mbolea ili itanuwe wigo nami nipo kupalilia lisiwe kichaka !!Tuboreshe nini mkuu? Maana hii thread imeanza zamani sana, nadhani niliandikaga pia posts mwanzoni sana, sasa naona kila kukicha inazidi kukua tu, na umekuwa moja ya watu wanaoipa uhai hii thread.
Kichaka kikitunzwa ni njia mbadala ya kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi mfano wa misituThread hii inahitaji mbolea ili itanuwe wigo nami nipo kupalilia lisiwe kichaka !!
Misitu ni rasilimali yenye thamani kote na hususan nchini, Lakini kwa masikitiko sana tumeshindwa kuihifadhi na kuitunza kwa kiwango stahili !!Kichaka kikitunzwa ni njia mbadala ya kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi mfano wa misitu
Mkataba wangu na mama mwenye nyumba umeisha kaja kunitolea vitu nje.Stahili yangu ni ipi kama sina mkataba