Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,631
Mshindi nahisi ni mimiThread hii ni nzuri ndo maana inaendelea kukua ilikujua yupi ni mshindi
Mshindi nahisi ni mimiThread hii ni nzuri ndo maana inaendelea kukua ilikujua yupi ni mshindi
kuchangia harusi siku hizi imekuwa kero maana kiwango maalum lazima utozwe !!!Lini mshindi atapatikana? haijulikani. Kuna mengi ya kuchangia
Usalama wa abiria ni jukumu la Dereva, na ruhusa ya dereva ni mwafaka kutoka idara ya trafik !!Barabarani uendeshe kwa umakini kuhakikisha usalama
Haki ya kutathmini matumizi ya umma wahusishwa wapinzani.. hapo ndipo ukweli,uwazi, ubadhirifu utadhihiri.... !!!Trafik aongoze na kusimamia watumia barabara kwa haki
....!!!Haki ya kutathmini matumizi ya umma wahusishwa wapinzani.. hapo ndipo ukweli,uwazi, ubadhirifu utadhihiri.... !!!
Lazima ufuate sheria na nidhamu wa mchezo huu, Mbinu zipo nyingi wee tegezea mwisho unyakue !!....!!!
kwa hizi mbinu zako sasa naona unautaka ushind kwa lazima
....!!!
kwa hizi mbinu zako sasa naona unautaka ushind kwa lazima
Hapa hapa ndiyo uwanja wa mapambano.. watakuja watazamaji kushuhudia nani bingwa !!!?Lazima vigezo na masharti vizingatiwe, bao la mkono halina nafasi hapa.
Bingwa, champion, Raha Leo, Dimba, Mwanasport ni miongoni mwa magazeti ya michezoHapa hapa ndiyo uwanja wa mapambano.. watakuja watazamaji kushuhudia nani bingwa !!!?
Michezo yetu ni humu nchini ndani tu... huko nje tuna tapatapa hoi bin taabani !!!Bingwa, champion, Raha Leo, Dimba, Mwanasport ni miongoni mwa magazeti ya michezo
Kimataifa kila nchi hutathmini uchumi wake katika kipindi cha robo mwaka na nusu mwaka !!Taabani kwa kuwa hatuzingatii viwango vya kimataifa
Kimataifa kila nchi hutathmini uchumi wake katika kipindi cha robo mwaka na nusu mwaka !!