Sana sana utavimbiwa ukipapukia utamu wake siyo hoja.. kazi ipo kwa mpishi !!!!Chakula cha usiku kitamu sana
Sana sana utavimbiwa ukipapukia utamu wake siyo hoja.. kazi ipo kwa mpishi !!!!
Hilo suala lafaa kutiwa maanani
Kizuri hakijitdmbeziMaanani baniani mbaya kiatu chake kizuri
Kizur chajiuza kibaya chajitembezaMaanani baniani mbaya kiatu chake kizuri
Kizuri hakijitdmbezi
Kizur chajiuza kibaya chajitembeza
Hakijiuzi kwasababu kinajitoshelezaChajitembeza Lakini hakijiuzi
Hakijiuzi kwasababu kinajitosheleza
Maisha hayatabilikiKinajitosheleza maana NI muhimu kuwa madhubuti katika maisha
Maisha hayatabiliki
Muamini yeye Muumba kwani ndo mwokoziHayatabiriki Kwa sababu hiyo NI Siri ya Mweny-EZ-Mungu Kwa tunao muamini.
Muamini yeye Muumba kwani ndo mwokozi
sibanduki kwenye uzi huu lazima niwe wa mwishoKwake daima sibanduki
mwisho utamaliza bando lako bure kufuatilia huu uzisibanduki kwenye uzi huu lazima niwe wa mwisho